Bachelor degree applicants missing diploma qualifications

Bachelor degree applicants missing diploma qualifications

System yao haipo vizuri mdogo wangu walimtumia email kuwa hajamiti diploma requirements sababu haku apload NTA level 4. Ila cha achab kuna wenzake hawakuweka na hawajatumiwa email na pia kwwnye hii orodha hawapo.

atakua haja upload transcript mwambie aangalie vizuri kama anayo mwambie aiupload maana aki upload transcript yenyewe ndio ina NTA level zote cheti hakionyeshi NTA level zote
 
8a48b1dbe38e388385585e77abf164f3.jpg

Ikiwa hivi maana yake hamna tatizo

usishau ku upload certificate ya diploma na transcript
 
kwani mkuu huwa inawezekana au kutokea Nacte wakakuchagulia chuo tofauti na ulivyoomba?msaada
 
usishau ku upload certificate ya diploma na transcript
Hiyo sio yangu... ila mbona hajatumiwa ujumbe. Na hata miaka hiyo sisi tuna aply mbona hawajawahi kutaka hivyo vitu zaidi ya matokeo yako kutumwa na chuo? Au mfumo umebadilika?
 
ni kuwa,kama haujaona jina lako kwenye hyo list ujue profile yako haina tatizo,subir selection,na kama umeona jina lako katika hyo list.tafadhar usipuuze,fata maelekezo waliyotoa,if it iz to upload ure diploma certificate or whatever ambacho huku upload be4re,
 
Hiyo sio yangu... ila mbona hajatumiwa ujumbe. Na hata miaka hiyo sisi tuna aply mbona hawajawahi kutaka hivyo vitu zaidi ya matokeo yako kutumwa na chuo? Au mfumo umebadilika?

nadhani mfumo umebadirika. Mimi baadhi ya watu niliowafanyia application wote walikua watano nacte walikua wananirequest niupload certificates na transcript za diploma na nimefanya hivyo. Yaani pale juu utaandika zile namba za qualification zako utaanza ya secondary na itafuata ya diploma alafu jedwali linalofuata ndipo pa ku upload certificate na transcript lakini ni za diploma tu sio certificate ya secondary. Lakini kuna wakati nilipoweka zile namba tu za cheti cha diploma walikua wanashindwa kuitambua kwenye database yao ndipo wanakuelekeza upload certificate ukiupload certificate wanakuambia upload transcript ukisha upload wanakutumia email kukushukuru na wanakuhakikishia wameshapata taarifa zako
 
Kwa iyo ikigoma sehem ya kuweka admn no. Ndio kuna sehem ya ku attach chet?

mimi wakati nafanya application za madogo ndio ilikua inani direct yaani sio kama ilikua inagoma bali walikua kila step niliyokua nafanya wao ndio walikua wananiletea maelekezo ya kufanya ndio mpaka tukafika kwenye ku upload certificates na transcript za diploma
 
Aisee asante sana, lakini cha ajabu majina yamebadilishwa tena. Nimeangalia katika list jioni hii kwanza yamepungua kutoka 2900 hadi 1180 na mimi SIPO KATIKA LIST HIYO yaani naona wananichanganya tuu hadi sasa. Mi profile yangu inaonesha option ya Update na Remove. Selection za awali zote zipo kama nilivochagua. Sasa sijui kama nipo fresh au vp. SIJUI KWAKO INAONESHAJE SS IVI.
 
mwenyewe ipo km ww sasa wanatuchanganya jmn, inamaana hao walibk ndio hawajarekebisha au vp yaan nacte wanatuchanganya tu bora watoe tu tujijue pressure zitulie km tumepata au tumekosa.
 
Aisee asante sana, lakini cha ajabu majina yamebadilishwa tena. Nimeangalia katika list jioni hii kwanza yamepungua kutoka 2900 hadi 1180 na mimi SIPO KATIKA LIST HIYO yaani naona wananichanganya tuu hadi sasa. Mi profile yangu inaonesha option ya Update na Remove. Selection za awali zote zipo kama nilivochagua. Sasa sijui kama nipo fresh au vp. SIJUI KWAKO INAONESHAJE SS IVI.

umefanya walivyotaka au haukufanya lakini umekuta profile yako ina option hiyo? kama ina option ya ku update ni vizuri ukaangalia uwezekano wa ku update hiyo profile yako maana inawezekana wametumia neno update badala ya neno hakiki. Me hizi za madogo zote hakuna kitu chochote kilichoongezeka zaidi ya capacity kurudi kama zilivyokua. Ume upload au haujafanya chochote kwa sababu watu wengi wanarekebisha na ku update profile zao labda ndio maana wanawatoa katika list na huenda kesho ukakuta majina yamepungua zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom