Bachelar of Fine Arts and Design.

Bachelar of Fine Arts and Design.

edwin4

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
287
Reaction score
219
Wanabodi, mdogo angu kachaguliwa kujiunga na fani ya Fine Arts and Design(UDOM & UDSM). Hivi mtu huyu atapata mkopo? ajira zake zipoje? Naomba kuwasilisha.
 
degree ya fine art and design unawaza kuajiriwa kweli... msanii unawaza ajiriwa
 
Daaah, kuna kozi zinataka moyo kuzisoma kwa kweli , ila anaweza pata ajira pale TASUBA
 
Daaaaaah, nimecheka sana.....dogo anataka kusoma Sanaa seriously, mwambie aache ujinga. Mimi nasoma procurement and logistics nina mkopo na nafanya Sanaa na sijaisomea.
 
Mpe ushauri
Asisome kama hana lengo la kufanya Sanaa. Sasa kama MTU anasoma Sanaa then anataka kuajiriwa ninapata walakini. Watu tunasoma kozi nyingine, boom linaingia na Sanaa tunafanya pia na hatujaisomea. Ajifunze kufikiri sawasawa.
 
Mwache asome
Mbona Mh. Edward Lowassa kasoma kozi hiyo na anaheshimika tu.
 
Daaaaaah, nimecheka sana.....dogo anataka kusoma Sanaa seriously, mwambie aache ujinga. Mimi nasoma procurement and logistics nina mkopo na nafanya Sanaa na sijaisomea.
Unajua ni sanaa ipi au unaropokwa tu
 
Iyo kozi IPO ila sjuagi Kama watu wanaisomaga ..

Uyo dogo Ni kwamba kaangalia Minimum qualification zimempeleka uko? Au Ni Ana Dream ya Hiyo saanaa.

Nashindwa hata kushauri aisee..kwa dunia ya Sasa hiyo kitu haiko Tena ..Ni kama Kuuza BIBLE kwa Sheikh wa Msikiti wa MASJID
 
Tatizo humu ni km kokoro hata mavi linabeba,watu hawajui lolote wanaishia kuropokwa tu,
Mnajua fine art nyie?mnajua designing nyie?
Mnaropokwa tu,ulizeni kwanza ni nn hii,lkn kuna mropokwa mmoja anafananisha fine art na art alosoma lowassa,si lazima kuongea jambo hamjui,
Bro km huyo binti anaweza fine art na ni kipaji chake mpe nafasi asomee,ipo siku utakumbuka maneno yangu,
Unataka asomee unachotaka wewe unahakika ataweza?na angekuwa anaweza unachotaka si angefaulu huko,hebu uwe na akili japo kidogo mkuu,
Mungu kaumba kila mtu na njia yake kufikia mafanikio,ilimradi tu awe kakaa kwenye mstari wake,
Fine art and designing ni UFUNDI KAMILI kwa ma mbumbumbu mjue hili,hii si sanaa kwa maana ya maigizo au kuimba au sanaa zingine,
Nilipo hapa naishi kwa kazi hiyo,
Sijaisomea kwa kiwango kikubwa hivyo lkn Nina kipaji kikubwa sana,hope ningesoma kwa level hyo ningekuwa mbali sana,nimeajiriwa mgodini kwa kazi hyo,ninaendesha familia ya watoto wanne,wawili wapo form five,halafu anatokea mbumbumbu anafananisha ufundi na maigizo,hata km ni maigizo km ndo karama yake atatoka tu,kuna watu wanasomea mambo ya salon na wanamaisha mazuri kuliko walolazimisha masomo yenye jina kubwa ambayo hata hawayawezi,
Fine art ni watu sharp sana vichwani,ulaya na Asia ni watu wanaheshima kubwa sana,
Wajinga wanaidhania ni nyepesi,nikushauri bro km Dada siyo kipaji chake asiende huko maana atashindwa na ataishia kujua kutengeneza batiki tu,lkn km ni kipaji chake msaidie,
 
Back
Top Bottom