Bachalor of Laboratory Science, BLS

Bachalor of Laboratory Science, BLS

AnyWayZ

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2022
Posts
4,885
Reaction score
8,484
Naomba kujua zaid juu ya fields of application za BLS.
Wanaweza kufanya kazi Medical laboratory?
Wanakibali cha kumiliki Health laboratory na kuziendesha?
Wanaweza kufanya kaz viwandani ie. vipodozi,vinywaji?
Wanafanana na kutofautiana vipi na watu wa Medical Lab sience wa kawaida?
 
Laboratory scientist awezi kufanya kazi hospitalin na hausiki kwenye upimaji wa afya za watu wala wanyama pia hawana kibali cha kusimamia health laboratory

wanaweza kufanya kazi viwandani,shuleni kwa mkemia mkuu, TBS etc
 
Apo nmekupata, Vpi migodini uko wanaweza kufanya kaz pia?
 
Naomba kujua zaid juu ya fields of application za BLS.
Wanaweza kufanya kazi Medical laboratory?
Wanakibali cha kumiliki Health laboratory na kuziendesha?
Wanaweza kufanya kaz viwandani ie. vipodozi,vinywaji?
Wanafanana na kutofautiana vipi na watu wa Medical Lab sience wa kawaida?
kijana wa Sua in multipurpose hall au nimekosea?
 
Back
Top Bottom