pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
Habari wakuu tafadhali husika na kichwa cha habari, anahitajika binti mwenye upendo wa dhati kwa watoto, kiwango chochote cha elimu majukumu ya kazi ni kama ifuatavyo.. kumpa mtoto chakula kulingana na ratiba, kufua nguo za mtoto, kucheza na mtoto, kupika chakula cha mtoto.. mtoto anaumri wa mwaka mmoja.. eneo la kazi ni moshi kibosho. kiwango cha mshahara maelewano kwa yeyote mwenye uhitaji tuwasiliane kwa namba zifuatazo 0763772636/0717207545/au email pettygodson@yahoo.com au waweza kuni PM