Anayekupenda kweli hawezi kuletea hayo maigizo. Tatizo siku hizi hatupendani bali tunaparamiana. We ukitamani kalio mwenzio anatamani pochi. Ndio life style yetu wabongo. Ila ukimpata soulmate hayo yote utayasikia kwenye bomba.hata ukiwa maskin bado utayafurahia mapenzi.
Unamwambia tuu, "ooh baby alafu sijakuambia hata mimi pia ni fundi wa simu, nipe nikutengenezee".
Hapo umeombwa simu tu
Nitakujibu sitaki kutengenezewa nataka mpyaa
Wanaume tutafute hela, hivi vitu kama simu ni vijimambo tu vidogovidogo. sasa boy kama una hela kweli simu ya laki nane kitu gani?.... wanawake hawa tumeumbwa tuwalee ebooooooo
Nakuambia sawa njoo uchukue hiyo mpya. Kitakachokupata itakuwa siri yako sidhani kana hata utaweza kuhadithia mtu.
Unajua kuna mwanamke mwingine kabla hata hajaomba ushafikiria kumpa, kuna mwingine roho inakataa kabisa kumpa chochote.
Roho inakataa kumpa wakati papuchi yake unakula kiroho Safi.. Acha hizo
Mpaka kumtongoza mtu Ina maana yupo kwny kiwango chako..toa bwana ndo uanaumeSasa si mpaka awe kwenye kiwango cha kuliwa hiyo papuchi yake. Ukiona mpaka namla papuchi yake maana yake kabla hata hajasema nishatoa, siyo simu tu, hata ambavyo hakutegemea kuvipata.
Mpaka kumtongoza mtu Ina maana yupo kwny kiwango chako..toa bwana ndo uanaume
Kutoa natoa. Lakini siyo hata kukutongoza bado unaleta za kuomba omba sitoi, na nikikupa basi utaipata. Mwanamke mwingine yani kila ukikaa unawaza umfanyie nini, hana hata makuu. Lakini kuna mwingine kha! Hata umfanyie nini yeye kwake bure.
Hata kwny tongozo lazima uombwe ili mtu ajue unaenda kwake km asset or liability.. Ndo mambo mjini yanavyoenda ss hv.. Huyo wa kukaa kimya haombi mpk umfikirie labda bush sio town na akiwa town ni independent woman otherwise you have to provide.
Nakupa Kwani kitu gani ili mradi huondoki nayo akha m nakuachia ni mwendo wa nipe nikupe mjini hapaNdiyo maana nasema, kama nikikukubali nakupa tu chochote na sitojisikia vibaya hata ukiniomba. Lakini siyo tumekutana asubuhi, jioni unaniambia simu yako mbovu unataka mpya. Je na mimi nikikuomba papuchi ndani ya masaa manne ya kukutana utatoa?
Nakupa Kwani kitu gani ili mradi huondoki nayo akha m nakuachia ni mwendo wa nipe nikupe mjini hapa
Sio naongea tu nyuma ya kompyuta ninachoongea ndo maisha ya sa hv yalivyo.. tongozo kavu lishapitwa na wakati Watt wa mjini wanakuambia mjini pesa mapenzi kwa mama yakoHahaha... Shauri yako, wewe jiamini tu nyuma ya "computer alafu ukaja pagawa ana kwa ana... Najua unaongea tu ili siku ipite.
Wanapenda ready made pambafffAjabu loh!!!!!!!!!!! kwanza mimi wananishangaza hata wanaume wanaopenda kupiga sim, kutuma msg kwa wanawake wakati hawajui sim mwanamke alinunuliwa na nani????
unataka ujibiwe msg wakati hujui bint vocha kawekewa na nani
Unataka kumpigia sim nunua yako mpe.
Sio naongea tu nyuma ya kompyuta ninachoongea ndo maisha ya sa hv yalivyo.. tongozo kavu lishapitwa na wakati Watt wa mjini wanakuambia mjini pesa mapenzi kwa mama yako
Hapana siyo kweli, ukiona unaanza kuomba mapema basi huyo uliyempata hana kitu ndiyo maana unaomba mapema. Lakini mwenye nazo, unakuwa huna hata haraka ya kumuambia shida zako. Ukiamka unakuta nimekurushia vocha nyingi tu. Mara M-pesa hiyo. Mwenyewe unashoboka. Nakugonga nakupotezea.
Kama sina kwanini nisiombe mapema mana hata nyie madushe yenu hayatuii siku hizi siku ya kwanza tu unataka papuchi acha na mie niombe mapema hata ukipiga ukisepa no regrets coz hii ni aluu baba haina makombo nikiosha mpyaaa