Baby simu yangu imeharibika

Anayekupenda kweli hawezi kuletea hayo maigizo. Tatizo siku hizi hatupendani bali tunaparamiana. We ukitamani kalio mwenzio anatamani pochi. Ndio life style yetu wabongo. Ila ukimpata soulmate hayo yote utayasikia kwenye bomba.hata ukiwa maskin bado utayafurahia mapenzi.
 
Hizi nyuzi za vijana wenye matatizo ya kifedha, kama huna hela wadada wamjini unawatafutia nini?! Unalialia humu, ndo simu ya baby imeharibika sasa
 
Wakati una muaproach simu ilikua nzima kabisa.

Lakini baada tu ya kuanza mahusiano; ghafla simu inaharibika.

Hivi kwanini kina dada simu zenu zinaharibika baada ya kupata wapenzi wapya?

Kwani huwa kuna probation period ambayo vitu kama simu vinatakiwa visiharibike??
 
Kuhonga ndio uanaume wenyewe vijana siku hizi mnalialia tu, kama majukumu hamuwezi kuweni wapole tuachieni kaka zenu
 

Hahaha..asante kwa ushauri...kila muwamba ngoma huvutia kwake
 
Achana nae huyo, tafuta ambaye simu yake haiharibiki.
 
hahahahahahahahahahahaha mpotezee tu, asikupe majukumu ya wazazi wake
 
Wadada saazingine akili zao ni full nusu nusu ______ Wanatuchora tu ni wasela mpaka basi
 
Kuhonga ndio uanaume wenyewe vijana siku hizi mnalialia tu, kama majukumu hamuwezi kuweni wapole tuachieni kaka zenu

Wanaolilia ni ubahili umewajaa. Wavivu wa kuhudumia
 
kuna mmoja alinipgia simu, baby naomba laki nne na nusu, nikamjibu poa, ila iyo hela ya nn? lichonijibu nikampga chini mazima ," eti baby kuna gauni nimeona na viatu nataka nikanunue, shenzy nikamwambia futa no. yangu na unisahau kabisa, hawa madem siku hiz majanga tupu
 
sasa mwambie tuipeleke kwa fundi uone:"oh bby jamani si uninunulie nyingine tu" nikununulie nyingine kwani mimi ndo nilie kuharibia

Uwiiiiii mbavu zangu.. We mwanaume si kwa majibu haya jamani loh
 
Wanaume tutafute hela, hivi vitu kama simu ni vijimambo tu vidogovidogo. sasa boy kama una hela kweli simu ya laki nane kitu gani?.... wanawake hawa tumeumbwa tuwalee ebooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…