donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
mwenyezi mungu angekuwa mfinyanzi angetengeneza vyungu vizuri sana.sifa kwake mungu mkuu.
Aisee kweli!
Washabiki wote wamekwenda mahakamani kwa babu seya, tusubiri warudi
mwenyezi mungu angekuwa mfinyanzi angetengeneza vyungu vizuri sana.sifa kwake mungu mkuu.
Huyo anayebembeleza mbona kama member flan wa hapa!!
hahaha! mcheki vizuri mkuu, inawezekana ndo zile ndoa za jukwaa la MMUHahah mkuu uchokozi huo
hahaha! mcheki vizuri mkuu, inawezekana ndo zile ndoa za jukwaa la MMU
Subiri apewe mara mbili tatu ashataka kwingine.. Nature is a bitch