Baby nikwambie kitu?

Kuna wale wanakuambia yani bebi nina ishu yani we acha tu yani nikikuambia waweza kuzimia,! Mie akishasema hivyo namuambia yani bebi bora usiniambie maana nitazimia mpnz.
 
Baby nikwambie kitu ..... Hahahaaaa me najibu usinambie
 
Itikia tu baby nambie.. mbona rahisi,akipiga kizinga na wewe unamuambia baby nikuambie kitu..? Sina hela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…