Baby nikwambie kitu?

Ukihonga laki utaitwa dear.ukihonga laki 2..utaitwa baby..ukiwa unakata laki3.kila Mara utaanza kuitwa "hubby Ake mie"utasikia hubby Ake..njoo nyumbani tulale wote..kuna mende ameingia..namuogopaa...ama mkiwa wote ukaj.mba utasikia pole hubby...hujaumia???wizi mtupuuu
 
Ukiona na kuvitamani vizuri ujue kuna mtu mahali anasoma na kuzifanyia kazi sms hizo!
 
"Kuna kitu nataka nikwambie"sijui utachukiaaa....nimekumiss halafu... Dadii mwenzio nashida kubwa hiyooo...sijui nikwambiee..utachukia???
 
Kuhonga nacho kipaji

Barabara! Ila jana nimekutana na msela wangu aisee kaniambia ana madem wawili wanamhonga kwa kushindana roho imeniuma sana maana mie nahonga hadi kero! Sasa jamaa yeye anahongwa hadi milioni dah nimeumia sana mamake!
 
Nimecheka sana eti pole hujaumia? Hahahahah dah
 
Ha ha ha..wanasumbua sana hawa watu Hossam
 
Last edited by a moderator:
Barabara! Ila jana nimekutana na msela wangu aisee kaniambia ana madem wawili wanamhonga kwa kushindana roho imeniuma sana maana mie nahonga hadi kero! Sasa jamaa yeye anahongwa hadi milioni dah nimeumia sana mamake!

kwahiyo na wewe unataka kuhongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…