Baby nikwambie kitu?

Hahahahha sio mtu akikuambia ivyo ataka kukupiga miziga mjomba Honey You know What?
What is it baby!
I Love you hahaha sio kila ukiambiwa ivyo kua ni kuombwa pesa heni
wawili katika mia moja ndo watasema other issues apart from mizinga
 
OYA unataka wa2 wengine waku2nzie demu wako
 
Naiogopa iyo kauli kama boko haram....uwa siijibu hata kwa viboko
 
Hiyo kauli siipendi, yaani akiniambia hivyo namuacha, yaani ipo kifekifeki.
 
Hiyo kauli siipendi, yaani akiniambia hivyo namuacha, yaani ipo kifekifeki.

Muwe mnawapa pesa za matumiz bila kuombwa hiyo kauli itabadilikaaa itakua ni "baby nikuambie kitu!!! Niambie "nna hamu na wewee
K mnazitaka matumiz madogo heeee
 
Mbona kawaida sana mkuu hofu ya nini wakati hii ndio life system
 
Hahahah hioo baby nikuambie kituuuu ahahaha naiogopaaaa sanaaaa dadek
 
Muwe mnawapa pesa za matumiz bila kuombwa hiyo kauli itabadilikaaa itakua ni "baby nikuambie kitu!!! Niambie "nna hamu na wewee
K mnazitaka matumiz madogo heeee

Kwani nyie dushe hamlitaki??
 
Kwanza sipendwi kuitwa baby...then mm niko honest sana na moyo wangu....kama nakuhonga usipende nambia unanipenda wakati vizinga kila siku.

ebu acha mkono wa birika wewe... loh. utaishia kuita shemeji kwa uchoyo wako. sasa wengine ndo tushazoea kuita baby
 
ebu acha mkono wa birika wewe... loh. utaishia kuita shemeji kwa uchoyo wako. sasa wengine ndo tushazoea kuita baby

Siri ya utajiri ni ubahili...mbna wa kuchapa wapo wengi tu...ataejikuta expensive akamtafute bakhresa mie najiweka pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…