twafa-kali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 251
- 211
acha uchoyo mwanaume pesa loh... baby nikwambie kitu malizia nakutumia laki moja ya saluni
Ukishindwa wenzako watakusaidia.
Mtakosa kuambiwa vitu vingine, watatafutwa wa kuambiwaukishasikia nikwambie kitu?? sema usinismbie...then guess what next???
Hahahahha sio mtu akikuambia ivyo ataka kukupiga miziga mjomba Honey You know What?
What is it baby!
I Love you hahaha sio kila ukiambiwa ivyo kua ni kuombwa pesa heni
baby mbona kwangu hujawai omba hela kwnn
Mtakosa kuambiwa vitu vingine, watatafutwa wa kuambiwa