Najisikia raha sana siku nikiwa naenda kumtembelea mpenzi wangu nyumbani kwao alafu aniulize hilo swali.
sijui na nyie wenzangu huwa mnafurahia kuulizwa hivyo.
Home kwao? Kumbe huyo mpenzi wako bado ni binti anayetunzwa na wazazi! Inapendeza zaidi ukiulizwa swali hilo ukiwa umegharamia mahitaji ya hicho chakula (hela ya mezani).