azithromycim
JF-Expert Member
- Apr 18, 2019
- 553
- 1,223
Kilichonishangaza ni babu kuniomba anibarikiKwa hiyo kwa sababu tu ni babu ukamuamini ?
Ishi kwenye maneno yake kimawazo ,kihisia na kimatendo itakua hivyo ,hakuna mabadilko yanayotokea njee yetu, bila sisi wenyewe kuruhusu hivyo.Kilichonishangaza ni babu kuniomba anibariki
Babu ni bibi aliyemtabiria Denzel Washington.Habari za muda huu wanajamvi
Leo nikiwa katika majukumu yangu yakazi amekuja babu wamika 103 kupata huduma ya afya katika hospital ya wilaya.
Babu akanikuta nikiwa kwenye majukumu ya kutoa huduma kwa wateja waliokuja kupata huduma ya afya.
Baada ya kumhudumia babu na kumpatia matibabu yake babu aliniomba kuwa anatamani kunibariki.
Babu huyo alikuwa padri wakanisa Anglican.
Sikuwa na sababu za kumzuia babu alinishika kichwa na kuomba kwa dakika zisizo zidi tano baada ya maombi akanena maneno yafuatayo,
1. Macho kazi yake kuona mema na mabaya
2. Masikio kazi yake kusikia mema na mabaya
3.Mikono kazi yake nikutenda mema na mabaya.
4. Chunga Sana sehemu zako za Siri sikila mwanamke anapaswa kuziona.
5.Miguu kazi yake nikutembe either kwa mema au mabaya
Mwisho akaniambia majukuu wangu naona kesho kubwa kwako Mungu amenionysha.
KabisaIshi kwenye maneno yake kimawazo ,kihisia na kimatendo itakua hivyo ,hakuna mabadilko yanayotokea njee yetu, bila sisi wenyewe kuruhusu hivyo.
Kwa hiyo unajua utatoboa! Fala ww.Habari za muda huu wanajamvi
Leo nikiwa katika majukumu yangu yakazi amekuja babu wamika 103 kupata huduma ya afya katika hospital ya wilaya.
Babu akanikuta nikiwa kwenye majukumu ya kutoa huduma kwa wateja waliokuja kupata huduma ya afya.
Baada ya kumhudumia babu na kumpatia matibabu yake babu aliniomba kuwa anatamani kunibariki.
Babu huyo alikuwa padri wakanisa Anglican.
Sikuwa na sababu za kumzuia babu alinishika kichwa na kuomba kwa dakika zisizo zidi tano baada ya maombi akanena maneno yafuatayo,
1. Macho kazi yake kuona mema na mabaya
2. Masikio kazi yake kusikia mema na mabaya
3.Mikono kazi yake nikutenda mema na mabaya.
4. Chunga Sana sehemu zako za Siri sikila mwanamke anapaswa kuziona.
5.Miguu kazi yake nikutembe either kwa mema au mabaya
Mwisho akaniambia majukuu wangu naona kesho kubwa kwako Mungu amenionysha.
Hapa ndio Mzee alipoonyeshwa na Mungu,inaonekana unapenda sana ,Tena unazifuata mwenyewe,!4. Chunga Sana sehemu zako za Siri sikila mwanamke anapaswa kuziona.
5.Miguu kazi yake nikutembe either kwa mema au mabaya
Wahi kwa Mwamposa akuwekee mkono tuone kama hujawekewa pepo mchafu.Habari za muda huu wanajamvi
Leo nikiwa katika majukumu yangu yakazi amekuja babu wamika 103 kupata huduma ya afya katika hospital ya wilaya.
Babu akanikuta nikiwa kwenye majukumu ya kutoa huduma kwa wateja waliokuja kupata huduma ya afya.
Baada ya kumhudumia babu na kumpatia matibabu yake babu aliniomba kuwa anatamani kunibariki.
Babu huyo alikuwa padri wakanisa Anglican.
Sikuwa na sababu za kumzuia babu alinishika kichwa na kuomba kwa dakika zisizo zidi tano baada ya maombi akanena maneno yafuatayo,
1. Macho kazi yake kuona mema na mabaya
2. Masikio kazi yake kusikia mema na mabaya
3.Mikono kazi yake nikutenda mema na mabaya.
4. Chunga Sana sehemu zako za Siri sikila mwanamke anapaswa kuziona.
5.Miguu kazi yake nikutembe either kwa mema au mabaya
Mwisho akaniambia majukuu wangu naona kesho kubwa kwako Mungu amenionysha.
Hakuna kutoboa bila kupambana mkuuKwa hiyo unajua utatoboa! Fala ww.
Simwaminig mwamposa nagenge lakeWahi kwa Mwamposa akuwekee mkono tuone kama hujawekewa pepo mchafu.