Babu wa Loliondo

CLEMENCY

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
211
117
Babu afya yake imeimarika! Na safari za kwenda Loliondo bado ziko..............
 

Attachments

  • Babu.JPG
    Babu.JPG
    87.6 KB · Views: 98
  • Loliondo.jpg
    Loliondo.jpg
    58.1 KB · Views: 94
Wenye utulivu wao ndio kwanza sasa hivi wanapanga safari zao kwa nafasi!Dawa ipo nyingi bado na watu wananeemeka kiafya!Kuhusu afya ya babu kuimarika, hilo ni mambo binafsi zaidi!Wakati mwingine social interaction zikiongezeka basi mwili hufurahi, Ubongo kuneemeka, na mifupa kuimarika!
 
mkuu unatuharibia concetration. watu wanawaza masula ya katiba mpya wewe unatuletea habari za babu. Bad timing
 
Back
Top Bottom