Babu wa Loliondo sasa yuko hatarini...

Babu wa Loliondo sasa yuko hatarini...

Kuna better life in christ kuliko huko kuponywa na dawa ya Babu na kesho unaugua mafua, malaria, typhoid etc kweli ikiingia ndani yako basi ugonjwa ukigusa mwili wako wenyewe una surrender na kupiga magoti nimekoma sinta rudi tena. Kwanini ukapange foleni na wengine kufa kabla ya kupata kikombe cha Babu huku unaweza tu ukajiwekea mwenyewe maji free kutoka kwa Yesu just from the atmosphere? Its possible to live such kind of life thats the whole mission of why Christ came and died for us.

Pata shule hapa;

|| Pastor Chris Online - Channel ||

|| Pastor Chris Online - Channel ||

Do you want to live in the night of your life of day of your life?

I choosed to live in the day of my life and am preaching so that others may discover themselves and come out of their dark life to the greater life where they would enjoy life in sunshine.

.
Nipo kwwenye engo ya ubize kama sivyo tungeelimishana
kwa hili. Pastor Chriss mbona ana doctor wake na anafahamika?. Hivi hamna watu waliowahi kufa katika njia ya imani yenu? Hayo maradhi yaliyawasababishia kifo yalitoka wapi? Au anataka kutuaminisha walilala wazima kabisa kiafya ila wakafia usingizini?
Sikatai uwezo mkuu wa nguvu za Bwana Yesu, na sijawahi kumwekea mipaka, ila napingana na wahubiri wanaofikiri Mungu huwasikiliza wao na wala sii wao kujisalimisha kwake.

Kama unaamini biblia iamini yote; it does not matter kasema Pr. Chris au mimi Ame au mwingine. Je haya anayosema hayajaandikiwa? Kama yamo humo sasa kama unadai unaamini kwanini yasiwe kama yalivyo semwa? Is either Jesus is the liar or a truth if He is true and Amen basi tukishindwa kuishi imani yetu si kwamba haiwezekani bali sisi tumeshindwa na yeye atabaki kuwa kweli maana hata kabla ya aliyoyasema kuwa documented aliishi hivyo. Je ulishawahi sikia Yesu aliugua? Kama huamni hivyo ni bora zaidi kwani Mungu ataona ndani yako huna imani na atakupa neema. Lakini ukiwa unaamini sehemu na mengine huamini unakuwa vugu vugu na Mungu atakutapika. Neno kubwa kuliko yote ni hili katika INJILI "YOTE YA WEZEKANA KWAKE YEYE AAMINIYE" Si baadhi ya mambo bali yote! Ibrahimu ambaye ni baba wa Imani ni demonstration ya kuwa hakuna kisichowezekana kwake yeye aaminiye. Je Unaamini na unaamini nini? Imani huja kwa kusikia na kusikia huja kwa neno la Mungu. Haijalishi Pr. Chris ana doctor au hana he is just a humanbeing but we have a true reference Jesus himself nad His life on earth. He is the same yesterday today and forever amen.
 
Habari zilizoandikwa katika magazeti na kusikika katika redio na Televisheni siku kadhaa zilizopita zilieleza kwamba Babu wa Loliondo ameoteshwa na Mungu dawa ya kuwatibu watu magonjwa sugu.

Wachunguzi na wataalam wa masuala ya kiroho wamegundua kuwa ndoto hiyo ni ya uongo kulingana na Neno la Mungu katika kitabu cha Yeremia 23:25-32. Neno la Mungu (Biblia) katika mistari hiyo linasema hivi:
"Nimesikia waliyoyasema manabii wanaotabiri uongo kwa jina langu, wakisema, Nimeota ndoto; nimeota ndoto. Je, mambo hayo yatakuwa katika mioyo ya manabii wanaotabiri uongo hata lini, manabii hao wenye udanganyifu katika mioyo yao wenyewe? Wanaodhania ya kuwa watawasahaulisha watu wangu jina langu kwa ndoto zao...Nabii aliye na ndoto, na aseme ndoto yake; na yeye aliye na neno langu, na aseme neno langu kwa uaminifu. Makapi ni kitu gani kuliko ngano? Asema BWANA...Basi kwa sababu hiyo...mimi [NIKO KINYUME]na manabii, asema BWANA, wanaotumia ndimi zao na kusema, Yeye asema. Tazama, mimi [NIKO KINYUME] na hao wanaotabiri ndoto za uongo, asema BWANA, na kuzisema, na kuwakosesha watu wangu kwa uongo wao, na kwa majivuno yao ya upuzi, lakini mimi sikuwatuma, wala sikuwapa amri; wala hawatawafaidia watu hawa hata kidogo, asema BWANA."

Katika mistari hiyo, BWANA Mungu anazifananisha ndoto na makapi. Hazina maana. Neno lake(ngano) ndilo lenye maana. Maandiko hayo yanaonyesha wazi kuwa Mungu hajamtuma babu kusema wala kufanya hayo anayoyafanya sasa na kwa sababu hiyo yuko matatani au hatarini maana Mungu yuko kinyume naye sasa.

Vyanzo vingine vya habari kutoka nje ya nchi, vimethibitisha kuwa huyo babu wa Loliondo ni nabii wa uongo.

NDUGU YANGU MPENDWA INGE KUWA VEMA KAMA UNGETUMIA JINA LAKO HALISI BADALA YA KUFICHA: HUJUI KWAMBA HIYO NI SAWA NA KUFANYA JAMBO GIZANI ILI USIONEKANE. UNAMWAMBIA BABU MWONGO WAKATI WEWE UMETUMIAJINA LA UONGO HUMU JF . UNAJUA IMEANDIKWA NINI WAFANYAYE MAMBO GIZANI. KAME KWELI WEWE NI MKWELI TAJA JINA LAKO, NA DHEHEBU LAKO KAMA SI WATU WALE WALE. NI WIVU TU
 
wachangiaji tupunguze jaziba tunapochangia, jua tunapochangia ndo tunajenga vinginevyo tutakuwa tunabomoa.
 
Mtu anaweza kuwa na majina hata 100. Anaweza kuitwa Rais, wakati huo huo akaitwa Mwenyekiti wa Tume, wakati huo huo akaitwa Mshauri wa Vijana, wakati huo huo akaitwa Baba fulani, na wakati huo huo anaitwa na ndugu zake Mjomba, Shemeji, Ba Mdogo...yote hayo ni majina. Inaonekana pia hujui nini maana ya username. Nenda Yahoo mail.com kajisajili kwa kutumia jina lako, utashangaa tayari wengine wameishalitumia. Hivyo lazima utafute jina jingine. Pole! Elimu ni bahari
 
Back
Top Bottom