Babu wa loliondo - fursa za biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu wa loliondo - fursa za biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mgombezi, Mar 8, 2011.

 1. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya watu wanaoendelea kumiminika huko Loliondo na nimeanza kuziona fursa mbalimbali za kibiashara ambazo zikitumika vizuri zinaweza kutatua matatizo yanayojitokeza kwa sasa na vile vile kuinua uchumi wa wakazi wa maeneo hayo.

  USAFIRI: Badala ya kila mtu kujiamulia kwenda mwenyewe huko, kungeweza kujitokeza kampuni mojawapo linalohusiana na usafirishaji (haswa hayo yanyofanya kazi za utalii) na kuratibu safari za huko; ambapo watu watahitajika kufanya booking na kutakuwa na idadi ya watu maalum ambao wataweza kwenda na kuhudumiwa kwa siku. Kutaweza kuwa na option ya wale watakaotaka kwenda na magari yao bali kuwe na utaratibu wa kujua idadi ya magari kwa siku na yote haya yataweza kuratibiwa na hii kampuni. Jambo la msingi ni kwa kampuni husika kuwasiliana na BABU aweze kutoa ridhaa ya huo uratibu.

  MALAZI NA CHAKULA: Kutengeneza tents na wale wanaofanya catering services wanaweza kuhamia hilo eneo na kuwahudumia watu kwa chakula.

  Fursa hii inaweza kuangaliwa kwa mapana zaidi!! (BUSINESS OPPURTUNITY), watu wa Arusha itumieni fursa hii vizuri.
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  u got good ideas
   
 3. s

  sawabho JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Babu mwenyewe sina uhakika na uwepo wake wa kudumu (sustainability) labda ndio maana wajasiriamali hajaona umuhimu wa kuwekeza hapo, lakini kwa wale mlio karibu na eneo hilo, chukua ushauri huo, fanyia kazi.
   
 4. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Nimeifikiria saana tangu jana usiku .... opportunity nzuri. Hata kama inaweza iwe ya msimu, bado utakuwa umerecoup costs zako na kutengeneza faida safi sana.
  Arusha.. go for it!
   
 5. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  thats right,ila jua hii ni bongo,the moment kukiwa na system or cordination dawa ya babu itaacha kufanya kazi.kwani watu wataweza ku comunicate na cross referencing ya effectiveness ya hayo maji ya babu,ukweli utajulikana then deal la babu litakufa.
  kumbuka watu wanaenda kivyao vyao,so hatujui wangapi wametibiwa na kupona maradhi yao. e.g DECI ilipoanza kuwa rasmi na kujulikana ndo hukawa mwisho wa deci

  on the other hand,wazo ni zuri na watu wa arusha wangeweza kuona na hii fursa na kuweka TENTS and toilet facilities kwa wageni hawa.
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Yeah it's survival of the fastest not the fittest, hii ni 21 century 'wahi' kabla 'hujachelewa'
   
Loading...