Babu wa loliondo atoweka

Sugar wa Ukweli

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
373
37
Kwa mfano Babu wa Loliondo atoweke ghafla halafu aache ujumbe mfupi kuwa"NDUGU WANAINCHI NIMEAMUA KUKIMBIA!!!!,BAADA YA KUGUNDUA HII DAWA NI SUMU HUUA BAADA YA MIEZI 6,WANANGU 3 WAMEKUFA,KWANI WAO NDIO WA KWANZA KUPATA KIKOMBE CHA MAJARIBIO,NI KWELI WALIPONA LAKINI WAMEFARIKI DUNIA KWA MKUPUO BAADA YA MIEZI 6.BORA NIKALIWE NA SIMBA KULIKO KIPIGO MTAKACHONIPA",Je unafikiri dunia itakuaje kwa MSHITUKO?
 
basi tena ndo hivyo itakua imetokea....daah i wish him to succes always kama vip aish daima coz kama hiyo dawa yakeimeprove uwezo basi ya ukweli
 
Mbona babu mambo yake hayana Mungu ndani yake??? Kwa mfano, Yesu wetu au nguvu zake kupitia wanaomwamini huwa hawezi kukuponya na akakusihi uendelee kunywa dawa. Kwa jina la Yesu ukiponywa ni pale pale unapona kabisa. Kuna ushahidi wa watu wengi waliokwenda Loliondo kunywa dawa wamepoteza maisha. Jana tumemzika jirani yetu mmoja alipata kikombe kisukari kimemuondoa jamani.

Nimepitia hospitali mbili, maabara wameniambia, wengi wemekuja kupima baada ya kutoka loliondo, lakini kuna matatizo makubwa kwani katika maabara hizo mbili kubwa hapa dar, hakuna maajabu kuwa kuna aliyepona.

Naomba tufuatilie suala hili. Uponyaji huu (is too sweet). Kuna jambo baya laweza kutokea. Tujihadhari.
 
kinacho tokea sasa ni kwamba sisi binadamu tunapokua na shida iliyo shinda uwezo wa akili zetu we go to any option that comes infront of us, and that thing we cant blabe any one, coz kama mtu kaugua muda mrefu na hana specific treatment, so ana try optin ya babu kama zali inaweza ikamtoa.. if anything bad happens itakua life error not a mistake...kibananhukhu
 
Mbona babu mambo yake hayana Mungu ndani yake??? Kwa mfano, Yesu wetu au nguvu zake kupitia wanaomwamini huwa hawezi kukuponya na akakusihi uendelee kunywa dawa. Kwa jina la Yesu ukiponywa ni pale pale unapona kabisa. Kuna ushahidi wa watu wengi waliokwenda Loliondo kunywa dawa wamepoteza maisha. Jana tumemzika jirani yetu mmoja alipata kikombe kisukari kimemuondoa jamani.

Nimepitia hospitali mbili, maabara wameniambia, wengi wemekuja kupima baada ya kutoka loliondo, lakini kuna matatizo makubwa kwani
katika maabara hizo mbili kubwa hapa dar, hakuna maajabu kuwa kuna aliyepona.
Naomba tufuatilie suala hili. Uponyaji huu (is too sweet). Kuna jambo baya laweza kutokea. Tujihadhari.

kibananhukhu hapa umenena!
 
basi tena ndo hivyo itakua imetokea....daah i wish him to succes always kama vip aish daima coz kama hiyo dawa yakeimeprove uwezo basi ya ukweli

Aishi milele kawa Mungu? vitu vidogovidogo kama hivi vinawahadaa mpaka mkapitiliza mipaka mkamuasi Mungu si ni biblia imeandika bwana ametoa na bwana ametwaa? na imeandikwa pia maisha ya anaezaliwa na mwanamke ni mafupi hapa duniani? kwanini basi tuombe aishi daima tunapinga haya maandiko? tumeshamsahau Mungu wa kweli? Anyway nilikuwa napita tu
 
aaah wapi Mungu ni ir·re·place·a·ble... na bado hajaasiwa ni wewe tu! kama kunakitu kimetokea miongon mwetu sis wanadam na knatusaidia positivelly basi ni demonstration ya msaada wa MUNGU NA upendo wake kwetu kwetu...live forever like a sun babu wa loliondo!
 
Dah!Kama ikitokea akigundua kua dawa yake ni sumu akikimbia wala asiache ujumbe wa kihivyo yeye achape lapa tu kimyakimya na tujiandae kuwazika wapendwa wetu coz mshtuko utakao wapata na vifo vya ghafla vitakavyowakuta viongozi wetu wa ngazi mbalimbali hadi ile kubwa kabisa tutamkosa dah!! vitakua ni vifo vyaki kipekee........

Baba katika jina la mwanao naomba usiliruhusu jambo hili litokee kwani hata mzee wa kiraracha nae atakuwemo aaaagh!!!na wa kuu wa mikoa,wabunge na mawaziri
nao tutawakosa ooooohhhe!!!!!!may God.................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Hv mpk leo kuna haja ya kumtafakari ya BABU wa Loliondo? Mi naona kama hauna IMANI naye mwache alivyo. Maana mtaani kwangu mi nimeshuhudia wa2 waliokuwa hoi na leo hii wamerejesha tumaini ktk kundi la kibinadamu. Mi naona kama huna Imani naye we piga kimya tu. Nimewashuhudia wa2 km sita walikuwa hoi ila leo wamerudi on line kbs. Imani yako itakuponyaaaaaaaa!!
 
Mimi nafikiri lets try to be positive on issues ambazo zinaonekana kuwa na manufaa kwa nchi yetu. Babu is real and will ever be!
 
Hv mpk leo kuna haja ya kumtafakari ya BABU wa Loliondo? Mi naona kama hauna IMANI naye mwache alivyo. Maana mtaani kwangu mi nimeshuhudia wa2 waliokuwa hoi na leo hii wamerejesha tumaini ktk kundi la kibinadamu. Mi naona kama huna Imani naye we piga kimya tu. Nimewashuhudia wa2 km sita walikuwa hoi ila leo wamerudi on line kbs. Imani yako itakuponyaaaaaaaa!!

:smile-big: Kazi nzuri haikozi wapinzani bwana. Mtu mmoja alimpeleka mwanae mwenye Type I Diabetes Mellitus, lakini alikuwa hana imani kabisa na tiba ya babu na hata leo hii anadai kabisa kwamba hana imani na dawa ya babu, unategemea ataona kitu chema huyo? Anasimulia kwamba baada ya kunywa mtoto alipata nafuu kidogo, lakini sukari ikashuka sana kupita kiasi, ilipodhibitiwa baadaye ikashuti juu sana sio kama zamani. Huoni anacheza na imani hapo? Babu alisema kama huamini kikombe ukinywacho utakuwa wanywa maji tu. It is up to you to choose which way to go. Ujinga wako usiwe doctrine ya kuwapandikiza wenzako.:crying:
 
Kwa mfano Babu wa Loliondo atoweke ghafla halafu aache ujumbe mfupi kuwa"NDUGU WANAINCHI NIMEAMUA KUKIMBIA!!!!,BAADA YA KUGUNDUA HII DAWA NI SUMU HUUA BAADA YA MIEZI 6,WANANGU 3 WAMEKUFA,KWANI WAO NDIO WA KWANZA KUPATA KIKOMBE CHA MAJARIBIO,NI KWELI WALIPONA LAKINI WAMEFARIKI DUNIA KWA MKUPUO BAADA YA MIEZI 6.BORA NIKALIWE NA SIMBA KULIKO KIPIGO MTAKACHONIPA",Je unafikiri dunia itakuaje kwa MSHITUKO?

Hivi Babu huwa acheki kila siku kanuna tu yeye na pesa
 
Back
Top Bottom