Babu wa Loliondo ajiandaa kwa mafuriko mapya

Babu wa Loliondo ajiandaa kwa mafuriko mapya

Ngawira alizokusanya zimekata na vyuma vimekaza hivyo ni lazima atafute mkakati mpya wa kutapeli.
 
Gazeti la Nipashe, linaelekea kupoteza Dira, Kitengo chao cha kurasimisha habari za kuandikwa kinapoteza uwezo wao wa kujua aina ya habari za kupewa kipaumbele. Lijikite kutolea habari za matukio rasmi yaliyotokea kuliko kuandika andika dreams and desire. Objectivity itawale gazeti lililokuwa na Heshima kama hilo.
 
Back
Top Bottom