Babu wa Loliondo ajiandaa kwa mafuriko mapya

Babu wa Loliondo ajiandaa kwa mafuriko mapya

Dr.Mwaka Waheshimiwa walikuja juu.
Na huyu mzee kikombe.Serikali itakuja chini.
Wacha season ziendeleee.!!
 
Huyu Mzee atakuwa miongozi mwa mabilionea, kupata Shilingi milioni 9 kwa siku sawa na 270 kwa mwezi kipindi kile ni hatareeee
 
ukijua kuitumia akili vizuri utawadaka wengi let's go the door is open...
 
Mzee alisha pigaga hela kiutani utani tu lakini kwasaizi hawezi kuwashika watu wengi kiasi kile labda atakuwa anapata hela za kula.
 
je atapata tena baraka ya kanisa kama ilivyoukuwa kikombe ...?
 
Wenye magari ni muda muafaka wa kuanza kujiandaa kutengeneza pesa.
 
Yaani jamaa alikuwa akiuza maji na vyakula na kuingiza pato la Tshs. milioni 28 kila siku!
 
Aiseee!! kweli woga wako ndio umaskini wako
 
Huyo babu ilifaa awepo jela kwa utapeli wake, nashangaa gazeti kama nipashe kumpa headline kubwa mtu kama huyo.
kwani alimwita mtu au alitangaza kuwa ye anatibu?maradhi yetu na umasikini wetu ndio uliotupeleka kwake,lakini hata hivyo wapo waliopona,
 
Back
Top Bottom