Mbunge, Taletale amependekeza kuwa Serikali ije na SGR ambulence kwa kuwa kuna wagonjwa wanakiwa wanahitaji huduma ya magari ya wagonjwa kutoka Morogoro kwenda Muhimbili ila hawana uwezo hivyo kwa kuja na hiyo SGR Ambulence itakuwa imewasaidia wananchi wengi.
Hayo ameyasema bungeni wakati akichangia hoja Mei 12 2026