Tafuta kwanza kadi ya kijaniKumbe rushwa huwa inatoka mfuko wa mtu mwingine. Asante babu tale kwa kunipa elimu ambayo mwalimu hakunifunza darasani. Sasa nije nimpe pesa hakimu toka mfukoni mwangu halafu nisikie takukuru nyenye nye
Wanaiba haswaMbunge wa morogoro kusini masharik
Babu tale atoa elf 50 Kwa kila mjumbe wa jimbo lake Zaid ya wajumbe 800.
Huku alisema pesa hiyo sio rushwa bali imetoka mfukoni kwake mwenyewe
Hii ingekua imefanywa na chadema
tungekua tunaongea mengine mda huu
View attachment 2999978
Alizompa Kinana na waganga wake?50000*800= 40,000,000
Hiyo 50k inaenda kuwagharimu watu miaka mitano tenaHuku alisema pesa hiyo sio rushwa bali imetoka mfukoni kwake mwenyewe