GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,282
- 2,938
Wambie mkuuHili swala la wanaume wa Dar es salaam limeshamiri sana humu, swali, sasa wanaume wa Tabora mnafuata nini humu, jukwaa lenu la kilimo si lipo kule juu?
Wambie mkuuHili swala la wanaume wa Dar es salaam limeshamiri sana humu, swali, sasa wanaume wa Tabora mnafuata nini humu, jukwaa lenu la kilimo si lipo kule juu?
Hakuna jinsi ya kuitoa damu "yote" yenye madawa ya kulevya na kuiweka "nyingine" hao wenye hiyo taarifa watuambie huo utaalamu wa kutoa damu na kuweka nyingine upo kwenye Hospitali gani!?