Mpoto ni shida kaamsha hisia za watu wakaanza upya kuomboleza
Ruge alikuwa wa kipekee sio kwa umati ule nilioshuhudia pale gymkhana
Haters ni ruhusa muendelee na chuki zenu Ruge kahitimisha safari yake hapa duniani
Tutaonana baadae
Sent using
Jamii Forums mobile app