emma-chriss
Senior Member
- Mar 16, 2011
- 100
- 16
BABU: Mjukuu wangu umerotoka shule?
MJUKUU: Hapana babu
BABU: Kama umetoroka njoo ujifiche mwalimu wako huyo anakuja huku
MJUKUU: Jifiche ww babu,nilimuaga mwalim kuwa nimekuja msibani wewe umekufa