fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,614
- 7,172
Wataishia kumfukuza babu wa watu,mpira wa kisasa atauwezea wapi?
Timu gani imemleta,?Wataishia kumfukuza babu wa watu,mpira wa kisasa atauwezea wapi?
itakuwa KMCTimu gani imemleta,?
kmcTimu gani imemleta,?
Atawarudisha. Dimbani kina Ngasa. na MaftahHii Lawama! huyu mapema sana atasepeshwa, timu aliyoenda haina nguvu kubwa ya feza kufanya usajili mzuri wa wachezaji ataowataka...
Dah unanikumbusha mbali nilivyokuwa mdogo maftah. Boban Henry John shindika Dan mrwanda.Atawarudisha. Dimbani kina Ngasa. na Maftah
Boban alinifurahisha sana.. nakumbuka nilisoma kwenye gazeti hiki kisa chake eti maisha ya sweden hayawezi, dah nilicheka sana.Dah unanikumbusha mbali nilivyokuwa mdogo maftah. Boban Henry John shindika Dan mrwanda.
Wakati ule Boban na kaniki walivyoenda Sweden niliwatangulia. Harun boban hakupenda kabisa Maisha ya ulaya alimiss company ya masela ya uvutaji bangi bongo, akaamua kurudi. Nilikuwa bado young mana late teens.
adriz
Ni company ya uvutaji bangi ndio alimissBoban alinifurahisha sana.. nakumbuka nilisoma kwenye gazeti hiki kisa chake eti maisha ya sweden hayawezi, dah nilicheka sana.
Anaenda timu mbovu tu hiyo ndio shida. Soka ni lile lile hakuna cha soka la kisasa.Wataishia kumfukuza babu wa watu,mpira wa kisasa atauwezea wapi?