.... Nchi hii ina Madaktari bingwa waliobobea ktk fani zao, Waganga na Wataalamu mbali mbali wenye Ma PHD, Digrii sasa iweje Mchungaji mmoja tu ajitokeze na kudai kaoteshwa na Mungu mwaka 1991!! halafu tiba yake anakuja ianza mwaka 2011?????
Tumeshuhudia wagonjwa wengi kupoteza maisha baada ya kunywa dawa hiyo na wengine wataendelea kufa huku Serikali ikishindwa kuchukua hatua muafaka kwa kuhofia shinikizo toka kwa baadhi ya watu wanaofaidika na mradi huo uliobuniwa na baadhi ya Vigogo wenye maslahi yao!!!
Kama Serikali itakubali huduma hii PRIMITIVE iendelee kutolewa na huyu Mchungaji basi tukubali kuwa nchi yetu imeamua kurudi ktk Enzi za STONE AGE na Elimu ya Tiba za kisasa zenye kutegemea LABORATORY EQUIPMENTS zitakuwa hazina faida tena na kutakuwa hakuna haja ya kuwaelimisha Watoto wetu Elimu ya Tiba za Kisasa na badala yake tuwe wategemezi wa NDOTO ZA USIKU TOKA MBINGUNI!!!!!!!!!
Wakati umefika sasa SERIKALI iamke na kuchukua hatua za haraka kuzuia hekaya hizi za kizamani za kutegemea Ndoto au tabiri za Wachungaji, Mashehe au Waganga wa Kienyeji kwani sasa wanakotupeleka kuna giza kuu!!!![/QUOTE]
hapa naona jinsi gani wewe mwenywe ulivyo na AKILI MBADALA na unahitaji tiba ya babu.
Nahisi ww ni kati ya wale watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na kusaidiwa kushi sasa una elements za mtindio wa ubongo. Hivyo nakushauri uende kutibiwa na babu.
Ikiwa Leo tuko karne ya 21 ya Teknologia na maendeleo ya kiwango cha juu ktk nyanja mbali mbali kama vile tiba kulinganisha na karne zilizopita, nimasikitiko na majonzi makubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu hasa hao wanaojiita Viongozi wa Dini kutaka kuturudisha Enzi za Mawe au enzi za falsafa za Vita vya MajiMaji!!!! kwa kutuletea Tiba zinazotokana na Ndoto au Maono toka Mbinguni!!!!
La kusikitisha zaidi Serikali yetu inapokubali shingo upande huduma kama hiyo iendelee kutolewa huku ikijulikana wazi kabisa ubora wa dawa hiyo ni wa hali ya chini na inayotolewa ktk mazingira machafu kabisa ya kutumia kikombe alichotumia mgonjwa mwingine!! Nchi hii ina Madaktari bingwa waliobobea ktk fani zao, Waganga na Wataalamu mbali mbali wenye Ma PHD, Digrii sasa iweje Mchungaji mmoja tu ajitokeze na kudai kaoteshwa na Mungu mwaka 1991!! halafu tiba yake anakuja ianza mwaka 2011?????

Wakati umefika sasa SERIKALI iamke na kuchukua hatua za haraka kuzuia hekaya hizi za kizamani za kutegemea Ndoto au tabiri za Wachungaji, Mashehe au Waganga wa Kienyeji kwani sasa wanakotupeleka kuna giza kuu!!!!

Please dont use such language is not proper just educate dada Zubeda.Kindly!

ukosawa, naungamkono hoja. %100Ikiwa Leo tuko karne ya 21 ya Teknologia na maendeleo ya kiwango cha juu ktk nyanja mbali mbali kama vile tiba kulinganisha na karne zilizopita, nimasikitiko na majonzi makubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu hasa hao wanaojiita Viongozi wa Dini kutaka kuturudisha Enzi za Mawe au enzi za falsafa za Vita vya MajiMaji!!!! kwa kutuletea Tiba zinazotokana na Ndoto au Maono toka Mbinguni!!!!
La kusikitisha zaidi Serikali yetu inapokubali shingo upande huduma kama hiyo iendelee kutolewa huku ikijulikana wazi kabisa ubora wa dawa hiyo ni wa hali ya chini na inayotolewa ktk mazingira machafu kabisa ya kutumia kikombe alichotumia mgonjwa mwingine!! Nchi hii ina Madaktari bingwa waliobobea ktk fani zao, Waganga na Wataalamu mbali mbali wenye Ma PHD, Digrii sasa iweje Mchungaji mmoja tu ajitokeze na kudai kaoteshwa na Mungu mwaka 1991!! halafu tiba yake anakuja ianza mwaka 2011?????
Tumeshuhudia wagonjwa wengi kupoteza maisha baada ya kunywa dawa hiyo na wengine wataendelea kufa huku Serikali ikishindwa kuchukua hatua muafaka kwa kuhofia shinikizo toka kwa baadhi ya watu wanaofaidika na mradi huo uliobuniwa na baadhi ya Vigogo wenye maslahi yao!!!
Kama Serikali itakubali huduma hii PRIMITIVE iendelee kutolewa na huyu Mchungaji basi tukubali kuwa nchi yetu imeamua kurudi ktk Enzi za STONE AGE na Elimu ya Tiba za kisasa zenye kutegemea LABORATORY EQUIPMENTS zitakuwa hazina faida tena na kutakuwa hakuna haja ya kuwaelimisha Watoto wetu Elimu ya Tiba za Kisasa na badala yake tuwe wategemezi wa NDOTO ZA USIKU TOKA MBINGUNI!!!!!!!!!
Wakati umefika sasa SERIKALI iamke na kuchukua hatua za haraka kuzuia hekaya hizi za kizamani za kutegemea Ndoto au tabiri za Wachungaji, Mashehe au Waganga wa Kienyeji kwani sasa wanakotupeleka kuna giza kuu!!!!
Zubeda mambo haya hayataki siasa wala dini. Nakuhakikishia kuwa mawazo yako ndo ya stone age,magumu kama mawe. Kama unadhani Mungu hayupo na umejiumba,ndo unafanya usiku na mchana na mvuna na mawingu kuwepo ndo uendelee na stone age ideas. Ktk ili nakushauri uache UDINI mbali na kumkubali Mungu! Kama hujawai kuumwa mshukuru Mungu wala si kumbeza Mungu! Waulize akina mama Salma na mh.walivoenda uko kwa babu wa maono ndo upate akili. Zubeda umekuwa bingwa wa kupinga mawazo yote yanayohusu imani za watu lakini ktk ili usijaribu kuingiza mambo yako. Elewa kabisa wengi watakaochangia hapa watakushangaa ndugu! Hapa hata angekuwa ustadhi mwenzio akapata maono kama haya wote tutamwamini na akituponya tutamwamini. Hamna sehemu yoyote yenye sharti kuwa mtu akitumia ile dawa basi awe mfuasi wake,hapana. Hapa ni ufunuo uliokuja kuwaponya mataifa! Huwezi kunieleza kuwa we una akili nyingi kuliko waliokubali ikiwemo serikali yako. Unajadili stone Age,we unaielewa historia kweli au umefundishwa kuichukia dunia?unajua miujiza ipi iliyotokea ktk stone age uliyosema?au unaisi kusema stone age unarefer kipindi gani?cha miujiza au? Jifunze na utambue kuwa Mungu yupo na anatenda miujiza kupitia watu aliowaumba yeye.Usitegemee hata siku moja Mungu atangaze kuwa kuanzia tarehe flan atakuwa sehemu flani akitibu na kufanya miujiza,hapana! Yeye atafanya ivo kupitia Mi na wewe na watu wote wa mataifa! Jifunze kuelewa kuwa Mungu yupo. Nina mengi ya kuongea lakini nahishia apa wala sitajibizana nawe,hata mimi mchungaji si wa imani yangu lakini kwa ili naomba Mungu ampe maono zaidi na maisha marefu. Siku njema.
Halafu huyu mchungaji kama alioteshwa na Mungu ili atibu watu, ina maana hoyo Mungu amemlazimisha atibie wagonjwa huko kwake? kwani hawezi kuja Arusha mjini penye maji, na huduma mbalimbali kama hoteli na migahawa ya kutosha? inakuaje huyo Mungu amlazimishe kutibia watu porini kusiko na maji wala huduma bora za kijamii? yaani huyo Mungu wake anataka watu wapone au wafe kwa kuharisha na kukaa ktk foleni ndefu?
jamani tuache ushabiki wa kidini na tuamke kukemea maovu!!!!