Hii imesikika leo kwa mujibu wa redio clouds fm. Sina taarifa zaidi kwa kuwa miye mwenyewe nimedokezwa na mtu.

Elewa hii si kwa mujibu wangu, ila nimedokezwa na mtu aliyekuwa anasikiliza redio hiyo, ndio maana nimeweka kama tetesi, kama kuna mtu anaweza ku verify hii habari, please do.Yaani katika posti yako hii kidogo kama nilikua nimeshaanza kuiamini! Lakini nilipoona neno REDIO CLOUDS FM!!! Craaaap:crazy: Endelea kuwasikiliza kina Kibonde na hiyo redio yao ya kibishoo!
Elewa hii si kwa mujibu wangu, ila nimedokezwa na mtu aliyekuwa anasikiliza redio hiyo, ndio maana nimeweka kama tetesi, kama kuna mtu anaweza ku verify hii habari, please do.
kwako wewe tatizo ni source ya habari au ni kama habari yenyewe ni ya ukweli?
Wengi watalia LMAO!