Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,507
mhh we mtoa mada mbona unatulisha kasa? clouds nimewsikia ni wazushi tu wale vijana wa XXL wamesema atakufa july nani kawaambia naona wale shule ni zero au div 4 ya form 4 wakasomea cheti wanapayuka tu,naona wameingia kwenye net wako live hawa jamaa lakini pumba tupu hawana jipya,kwa mnaopenda kusikia pumba zao mtawapata www.cloudsfm.co