kweli kabisaaa,mtu anayesumbuliwa na halucinations ni mgonjwa wa akili,pia ana delusional beliefs kwamba yeye ana superior powers ni charasteristics za pyschosis....bahati mbaya haya magonjwa ya akili hayajapewa mwanga wa kutosha ndio maana babu wa watu kapewa attention zaidi badala ya kupata medical attention.:alien: