Babu Duni aonekana Zanzibar

Nyie mnaoanzisha propaganda tumieni basi akili ata theluthi. Ujinga mwingine ata mtoto anajua ni uzushi
 
Jamani Ukawa wekeni picha ya Babu Duni akiwa katika kampeni. Maana mnarudia picha za Lindi tu!
 
Ccm kwishaaa 26-10-15 ccm chama cha upinzani magufuli waziri mkuu kivuli
 

Wewe ni sawa na kibonzo duni anendelea na kampeini na jana tulikuwa naye rufiji
 
Nyie mnaoanzisha propaganda tumieni basi akili ata theluthi. Ujinga mwingine ata mtoto anajua ni uzushi

Kwa mwana lumumba haitatokea kutumia akili wakati kama huu maana ni sawa na mfamaji
 
We lofa babu Duni Jana alikua Rufiji na M/kiti Chadema Zanzibar na kulikua na umati mkubwa, sasa propaganda zenu ni za nini?

Mkuu hayo ma lumumba ni sawa na mfamaji maana hali kwao ni tete
 

Kachukua rikizo ya bila malipo
 
Duni anawadai kaamua kuludi zanzibar. Wamemtapeli na yeye kasusa hawana mgombea mwenza
 
We lofa babu Duni Jana alikua Rufiji na M/kiti Chadema Zanzibar na kulikua na umati mkubwa, sasa propaganda zenu ni za nini?

NILIKUA NAMSTAJABU SHETANI MWEUSI , MAAANA JANA BABU DUNI ALIKUA RUFIJI AKIZUNGUMZIA MJI ULIO ASISIWA NA WAJERUMANI NA CCM KUUTEREKEZA, MKUU WA WILAYA HIYO KUJIFANYA MUNGU MTU KWA KUNYANYASA RAIA PAMOJA NA KUHODHI MADAWATI KWA AJIRILI YA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI, MGOMBEA UBUNGO JIMBO LA RUFIJI ALISEMA ATAMUOMBA MH RAIS EDWARD LOWASA KUMPENDELEA UKUU WA WILAYA ILI WAMTOE FIKRA ZAKE MGANDO ZA KUTAKA WANANCHI WAMTUMIKIE BADALA LA YY KUWATUMIKIA WANARUFIJI
Halafu MBURU.LA HUYU ANASEMA KAONEKANA ZANZIBAR KWELI CCM MNASIASA NYEPESI SAAANA
 
Tumsamehe bure mkuu! Maana hata TWAWEZA walikiri kua CCM inaungwa mkono na wajinga wengi, yaani wasiosoma! Kwahiyo kubali kua ndani ya CCM kuna wajinga kibao, huenda naye ni mjinga.
 
hahahaha....Babu Duni wameshamzomea hadi amekosa amani akaona hawa watu wa bara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…