Babu Duni alivyoiteka Bukoba 16.10.2015

Babu Duni alivyoiteka Bukoba 16.10.2015

Libaba

Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
58
Reaction score
14
Babu Duni ambaye ni mgombea mwenza wa CHADEMA amepata umati wa kufa mtu Bukoba kwenye mkutano wake wa Kampeni mjini Bukoba uliofanyika sokoni kata ya KASHAI. Kwa matukio zaid tembelea http://bukobawadau.blogspot.dk/2015/10/mkutano-wa-juma-duni-haji-mjini-bukoba.html#.ViF8GTahfIU

Kabisa wakuu hakuna namna kila kona ya nchi na Dunia yote ni Mh Edward Ngoyai Lowassa ndio habari.Anasubiria kuapishwa hakuna namna tena
 
Mpaka Babu Duni naye anapata mafuriko duh! Basi mvua za mwaka huu kiboko.

Asante pia kwa kutangaza blog yako!
 
Kila siku nakifanyia service kichinjio changu.
 
Kwa kweli hamna namna yeyote. Kila kona Lowassa. Nimetoka Tarime kule ukimzungumzia Magufuli wanaweza kukutemea mate. Wananchi wanataka mabadiliko. Wamechoshwa na CCM na kwa kweli wamlaumu Mwenyekiti wa CCM kwa CCM kuelekea kushindwa. Wananchi wana hasira sana. Mfano ESCROW watu wachache wameiba fedha nyingi huku wananchi wakiteseka kukosa huduma muhimu. Pigeni kura za hasira dhidi ya CCM.
 
mh.. mleta mada bana kama hii niliyoiona babu duni ndiyo nyomi basi tuna matatizo , sio bure, watu hawafiki hata mia , na vitoto vingi et ndio nyomi hongereni kwa blablaa..
 
Huyu babu huwa namkubali kwa uchangamfu wake. Lakini wagombea wenza waliopita duh.. mikasi kwa kwenda mbele
 
Babu duni mm ananiacha hoi yaani ni wa pekee sijawai ona
 
Kwa kweli hamna namna yeyote. Kila kona Lowassa. Nimetoka Tarime kule ukimzungumzia Magufuli wanaweza kukutemea mate. Wananchi wanataka mabadiliko. Wamechoshwa na CCM na kwa kweli wamlaumu Mwenyekiti wa CCM kwa CCM kuelekea kushindwa. Wananchi wana hasira sana. Mfano ESCROW watu wachache wameiba fedha nyingi huku wananchi wakiteseka kukosa huduma muhimu. Pigeni kura za hasira dhidi ya CCM.

Anagombea Dr.John Joseph Pombe Makufuri kwa tiketi ya ccm na si mwenyekiti wa ccm, acha kutumia pumba bro!
 
Back
Top Bottom