Hapo wakujilaumu ni cdm kwa kucheza karata zao vibaya. Mimi kama mimi ninaamini cdm tayari walikuwa wanaweza kura nyingi tu bila hata kushirikiana na chama chochote. Muungano ni kitu kizuri lakini bila kuangalia unayeungana naye ana utashi gani kwenye huo muungano ni kama kujichanganya tu. Hata wasingempokea EL na huyo Duni bado cdm ingetapa kura nyingi sana.
Kuupuuza ukweli unaharibu chama ni hasara kubwa hasa pale wapinzani watakapo utumia kama silaha ya kukuangamizaHuwezi kukimbilia kutoa tamko katika kila unachosikia mtu aliyehama chama chenu anasema.mengine yanazua malumbano na kukibomoa zaidi chama,unaamua kumpuuza mhusika.
Kura za zanzibar ni ngapi ndugu yangu? Unaweza ukawa rais bila hata ya kupata kura moja ya urais huko znz.Bila kuungana na CUF zanzibar wasingepata kura nyingi vile... kwa hiyo muungano umewabeba katika ngazi ya Urais kupata kura za visiwani..
Kweli kabisa. CDM wamejichanganya mpaka wamepoteana.kabisa. sasa wako kama kambale.Hapo wakujilaumu ni cdm kwa kucheza karata zao vibaya. Mimi kama mimi ninaamini cdm tayari walikuwa wanaweza kura nyingi tu bila hata kushirikiana na chama chochote. Muungano ni kitu kizuri lakini bila kuangalia unayeungana naye ana utashi gani kwenye huo muungano ni kama kujichanganya tu. Hata wasingempokea EL na huyo Duni bado cdm ingetapa kura nyingi sana.
Hapa huyu mzee Duni anafanyakazi ya CCM kuibomoa CDM sijui nani kamtuma! sijamsoma kabisa.huu ni mda wa kupanga mikakati ya uchaguzi.wa 2020 na kuendeleza mshikamano badala ya Madongo ndani ya UKAWA.Babu duni atulie na atuachie Chadema yetu.Pia namshauri akae kimya kwani haibomoi Chadema bali Ukawa .kwahiyo anakaya kuti alilokalia mwenyewe.
Akumbuke Ukawa ndiyo iliyosaidia kurudisha uhao Wa Cuf Bara.
Mwisho wanachadema na Ukawa wenzangu kuunganisha vyama vilivyokuwa na itikadi tofauti vije kukubaliana na kufanya jambo LA maana na kubwa kama ilivyofanyika kwenye uchaguzi uliopita ni jambo LA kujipongeza.
Pamoja na hayo changamoto hazitoweza kukosekana na zitamalizwa kwenye vikao lakini si kupitia kupwayuka kwenye media.
ujumbe umewafikia,wanataratibu zao za kushughulikia hayo kwa vikao badala ya kutumia njia ya Babu Duni.kuifurahisha CCM.Kuupuuza ukweli unaharibu chama ni hasara kubwa hasa pale wapinzani watakapo utumia kama silaha ya kukuangamiza
Naamini viongozi wa CDM wanajua madhaifu mengi yaliyomo CUF nao wakianza kuibomoa UKAWA itakufa na hasara itakuwa kwa wananchi katika maendeleo.Alianza Lipumba na sasa babu Duni.Jambo la kushangaza ni kwamba katika haya yote CUF haijawahi kuwapinga wala kuwakemea wala kutumia neno usaliti dhidi yao.
Upo sahihiHapa huyu mzee Duni anafanyakazi ya CCM kuibomoa CDM sijui nani kamtuma! sijamsoma kabisa.huu ni mda wa kupanga mikakati ya uchaguzi.wa 2020 na kuendeleza mshikamano badala ya Madongo ndani ya UKAWA.