si ndo hapo? aliona ajihami kabisaaaaaaaaaaaaaa, maana mama yao kama hatakuwa na maisha mazuri basi mzee ingebidi ajipinde na pensheni yake kusomesha wajukuu badala ya kula na mamsapThat was and still a big point! Mambo ya kusomesha wajukuu!
si ndo hapo? aliona ajihami kabisaaaaaaaaaaaaaa, maana mama yao kama hatakuwa na maisha mazuri basi mzee ingebidi ajipinde na pensheni yake kusomesha wajukuu badala ya kula na mamsap
ivi ukizaliwa mvulana pekeako afu umwambie mazaako unataka kwenda kusomea uchungaji wa Kiroma,ivi atakuelewa kweli?
Mi waliniambia nisithubutu kujaribu michezo ya kikubwa kwani ni hatari sana... Na niliwaona kama vile washazeeka waliponikataza kwenda Disco Theque.... Kumbe starehe zipo na haziishi sanasana zinakuja mpya na kila aina ibilisi anaziboresha tu! Gee Cee
Wikiend ndo hiyo jf inanipa raha! Hebu kumbuka yale mambo wazazi/wazee wako walikwambia lakini yalikuwa either funny, strange or unbelievable!
Mf 1. Wajomba zangu watatu walisoma shule darasa moja na wote separately waliniambia wameshika nafasi ya kwanza std 1 mpaka seven.!
Huko nyuma kishughuli nilikua ndiyo meneja wa kusimamia miradi ya Kaka yangu.
Siku moja Baba yangu (ambae ndiyo pia Babake Kaka)
akaniambia "mwanangu mtegemea cha ndgye hufa maskini! , ikitokea ghafla huyu Kakaako kafa na hivi ana watoto.
Hii mali yote itakua chini yao, na wao ndy watakua na maamuzi ya ww kubaki unasimamia ama wakutimue! Hivi unatumia mali hizi ni kwa vl nduguyo yuhai.
Namshkuru Baba maneno yake yaliniondoa buibui usoni, nikaanza kujitegemea hadi leo, na alichokisema Baba hakikuanguka kwani Kaka alishakufa na wanae wana mikesi ya mirathi kotini kibao.
baba yangu aliwahi kuniambia "Mwanangu, nakukazania kusoma siyo ili uje kunisaidia baadae, nakukazania ili nisije nikaendelea kusomesha wajukuu zangu nikishazeeka"