October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Kajifunze kuandika kwanza wewe kenge ndio uje ujaze hizi pumba zako hapa jfNa Bado! Oktoba tunanayo!
Mlimuamini Babu Ayubu kama komandoo, kiko wapi lelo? Mwadhani yeye tu ndo ajua kucheza mashoati? Haya kimemramba! Alizowea kuwatia mjini kwa madevu, nyinyi walugaluga mkadhani mtu wa visiwani hatuwezi? Mshatufahamu sasa, sisi ndiyo tumesimama kwenye usukani. Apigie simu maswahiba wake wamemgeuka! Tumebonyeza kitufe kimoja tu, kazua mayowe. Ehee! Je tukibonyeza matunzi yake? Halaa!
DJ wawekee wimbo wa Kapteni Komba, Mmeyataka wenyewe ndindi...
Babu ayubu ndio naniNa Bado! Oktoba tunanayo!
Mlimuamini Babu Ayubu kama komandoo, kiko wapi lelo? Mwadhani yeye tu ndo ajua kucheza mashoati? Haya kimemramba! Alizowea kuwatia mjini kwa madevu, nyinyi walugaluga mkadhani mtu wa visiwani hatuwezi? Mshatufahamu sasa, sisi ndiyo tumesimama kwenye usukani. Apigie simu maswahiba wake wamemgeuka! Tumebonyeza kitufe kimoja tu, kazua mayowe. Ehee! Je tukibonyeza matunzi yake? Halaa!
DJ wawekee wimbo wa Kapteni Komba, Mmeyataka wenyewe ndindi...
Ana mapepo yamempanda majiniKwa nini baadhi ya watu huwa mnaandika taarifa zenu huku mkono mmoja mmeshika kopo la pombe mnakunywa?Muwe na utulivu.
urojo fc huyu atakuwaKwa nini baadhi ya watu huwa mnaandika taarifa zenu huku mkono mmoja mmeshika kopo la pombe mnakunywa?Muwe na utulivu.
Nimezingatia zaidi..."yamempanda"..!Atakuwa hata kupumua hawezi.Ana mapepo yamempanda majini
Babu ayubu ndio nani
Mmi ni ccm mbona huwa unaandika useng£Na Bado! Oktoba tunanayo!
Mlimuamini Babu Ayubu kama komandoo, kiko wapi lelo? Mwadhani yeye tu ndo ajua kucheza mashoati? Haya kimemramba! Alizowea kuwatia mjini kwa madevu, nyinyi walugaluga mkadhani mtu wa visiwani hatuwezi? Mshatufahamu sasa, sisi ndiyo tumesimama kwenye usukani. Apigie simu maswahiba wake wamemgeuka! Tumebonyeza kitufe kimoja tu, kazua mayowe. Ehee! Je tukibonyeza matunzi yake? Halaa!
DJ wawekee wimbo wa Kapteni Komba, Mmeyataka wenyewe ndindi...
Na badoKwa nini baadhi ya watu huwa mnaandika taarifa zenu huku mkono mmoja mmeshika kopo la pombe mnakunywa?Muwe na utulivu.
Mmi ni ccm mbona huwa unaandika useng£
Unatumia id bandia na bado unaogopa kumtaja kwa uwazi?Unaogopa atakukata makofi?Hana hamu huko aliko na bado
Wachache Tu Ndio Wanaleta Upumbavu Japo Akili Zipo...Acha Kuisingizia Pombe...Kwa nini baadhi ya watu huwa mnaandika taarifa zenu huku mkono mmoja mmeshika kopo la pombe mnakunywa?Muwe na utulivu.
Sijaisingizia,nimeona mwandiko.Wachache Tu Ndio Wanaleta Upumbavu Japo Akili Zipo...Acha Kuisingizia Pombe...
Unatumia id bandia na bado unaogopa kumtaja kwa uwazi?Unaogopa atakukata makofi?
Hadi October tutaona na kusikia mengi, codes after codes....sisi wenye vichwa panzi tutapata shida sana kuelewa.