stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Babu m1 aliibiwa hela yake kwenye daladala na kuanza kusema.."Jaman alienichukulia hela yangu anirudishie tu mwenyewe nicje fanya km nilichofanya mwaka1976" jamaa aliechukua hela akaogopa na kumrudishia na kumuuliza kwani ulifanyaje mwaka huo? Babu akasema"We acha tu mjukuu wng nilitembea kwa miguu toka Mbagala hadi Tegeta"