Babu @Asprin pole

Jamani babu Asprin ana majonzi mno leo nilikuwa sijawahi kumwona ktk hali hii! Anatia huruma mno hadi mimi kaniliza!!!
 
Last edited by a moderator:
Babu Asprin pole sana mkuu kwa kumpoteza binamu
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
Last edited by a moderator:
We mkalee umechakachua thread ya kumpa mpole mumeo.wakewenza wapo wanalia BADILI TABIA NA YUMMY wamezima mara nne we una habari za mahari
khaaaaaaaaaa! The secretary mbona kunifitinisha na hubby mwenzio jamani??? khaaaaaaaaa! mpo nchi gani weekend hii??
 
Last edited by a moderator:
Umenikataza nisiwaambie watu lakini nimeshindwa. Navokuona na unavokunywa najua umeumia sana.

Acha wanachitchat wajue umempoteza binamu na rafiki yako sana wa karibu. Kama mimi nimeumia najua ulivoumia.

Mungu amlaze binamu yetu padre Amon mahali pema peponi. Amina. Parokia ya Kurasini itakukumbuka daima.

Pole sana binamu yake/yetu.
Padri Amon.
R. I. P

Jamani papaa Asprin akafiwa, pole sana mkuu mwenzangu.

R.I.P. Mtumishi wa Bwana.

Pole sana rafiki. RIP Fr. Amoni

Pole sana Aspirin

pole hubby! tumekuandalia nafsa tutakukanda usikie afadhali, ni ngumu kusahau na kuamini, lakini tupo na wewe kwa shida raha! wakezo Yummy, BADILI TABIA na mie! pole mwaya!

Mrembo, poleni sana wewe na wake wenza pamoja na hubby wenu.
Mwambie rafiki yangu Asprin ampe pole mkwe wangu pia

thanx KARIA! tupo pamoja mwambie!

Jamani nazidi kusikitika babu Asprin kakosa nafasi kwenye basi la ndugu wa marehemu kaamua kutumia bajaji yake kwenda Tunduru kwenye malalo ya milele ya marehemu binamu yetu padre Amon! A NAZIKWA Tunduru kwenye makao makuu ya shirika lake! Kwa wakatoliki wanalijua hilo ipasavyo.

jamani mwenye hata trekta ampe lift hubby wetu! khaaaaaa, KARIA mwambie naandamana huku apate usafiri!

Pole sana photographer wetu, Asprin!

Pole sana babu!

0018.gif
0009.gif
0016.gif


0006.gif
bwana ametoa bwana ametwa jina lake libarikiwe .
0009.gif

0045.gif
0058.gif
0084.gif
0054.gif
0045.gif



Aseeeee......
Duh!!!
may_he_or_she_rest_in_peace_sticker-p217224721939556055envb3_400.jpg

hakika kila nafsi kwa mungu ni marejeo.poleni wake wote na mume wenu

rest in peace baba padre wote tutafuata . And my babu aspirin pouleee hata mwenye guta amatie lift jaman chondechonde

RIP padre Amon.

Pole Asprin, Mwenyezi Mungu akupe nguvu ya uvumilivu.

pole sana babu Asprin na wakeze cacico, Yummy na BADILI TABIA. . .

Lakini wajameni mbona Asprin mwenyewe hajajitokeza mpaka muda huu?
Hebu nyie timu cacico, BADILI TABIA na Yummy tuwekeeni maelezo mezani.

Raha ya milele umpe e Bwana
Na mwanga wa milele umwangazie Fr Amon
Apumzike kwa Amani
Amina.
Pole sana mkuu Asprin.

Jamani babu Asprin ana majonzi mno leo nilikuwa sijawahi kumwona ktk hali hii! Anatia huruma mno hadi mimi kaniliza!!!

pole babu Asprini Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu

RIP Padre wetu

Aisee pole sana Asprin; Mungu amlaze cousin wako mahali pema, mbinguni!

Pole babu Asprin. R.I.P ndg yake babu.

Asprin pole na msiba....

Babu Asprin pole sana mkuu kwa kumpoteza binamu
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Ahsanteni kwa maneno yenu ya faraja. Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. Jina la Bwana na Lihimidiwe.

:rip: Rev Fr. Amon.......:amen:

:closed_2:
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom