Babu @Asprin pole

Aseeeee......
Duh!!!
may_he_or_she_rest_in_peace_sticker-p217224721939556055envb3_400.jpg
 
wizi mtupu! lol, wanangu watakuwa masista kanisani, kama hawataolewa kwako! tena woteeeee wataolewa kwako, khaaaaa mama mtu nimeipitisha, lol!
hako kadude ka senksi haiwezekani kugonga mara 10? si unajua sisi wangoni na maheshima yetu? yaani kama mama mkwe mwenyewe ndo mimi, si unaona sasa mabinti zako watakavyotesa huko mtaani? kama nawaona vile
 
hako kadude ka senksi haiwezekani kugonga mara 10? si unajua sisi wangoni na maheshima yetu? yaani kama mama mkwe mwenyewe ndo mimi, si unaona sasa mabinti zako watakavyotesa huko mtaani? kama nawaona vile
kwa kweli mama mkwe wamepata, labda wakiuke tu wenyewe maadili! na wangoni ndio wenyewe kwenye ile michezo yetu, lol! wanangu watakuwa wanapiga vigelegele!
 
Jamani nazidi kusikitika babu Asprin kakosa nafasi kwenye basi la ndugu wa marehemu kaamua kutumia bajaji yake kwenda Tunduru kwenye malalo ya milele ya marehemu binamu yetu padre Amon! A NAZIKWA Tunduru kwenye makao makuu ya shirika lake! Kwa wakatoliki wanalijua hilo ipasavyo.

jamani mwenye hata trekta ampe lift hubby wetu! khaaaaaa, KARIA mwambie naandamana huku apate usafiri!

hii habari ina ukweli au ni chit chat? Tunduru kwa bajaji? au ni misemo ya huku ambayo imenipita?

Hahahaaaaaa uwiiiiii mbavu zangu.........JF raha sana aseee
 
Back
Top Bottom