Babu ananiomba ushauri anataka kuoa!

huyo babu yako anatafuta ukimwi. its ok yy kuoa, na uko sahihi kuwa sio kwa ajili ya sex tu bali hata kampani na kufarijiana wakati anaumwa au anajiskia mpweke. mshauri atafute m-bibi walau wa miaka 60 huko ambaye ni mjane. tena wapime na ngoma kabisaa. tatizo langu ni kuwa huyo binti,hata kama atatulia anasubiria eda ili apate mwanaume wa kuzaa nae. mwisho wa siku utaachiwa mzigo wa watoto wa kulea. na mabinto wa kijijini wanajijua wenyewe,atazaa watoto 6 hapo mkome nao!muambie babu sio adabu yy kuoa mwanamke mdogo kwako,usije ukamchakachulia (atapata point)
 
Vunja mifupa ingali meno ipo...mwache babu aoe...mbona mugabe ameoa kijibinti? Mtamnyanyasa kama mtamkatalia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom