Babu Ambi wa Loliondo!!!

Babu Ambi wa Loliondo!!!

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,981
Reaction score
3,457
Babu Ambi wa Loliondo aliwaambia wagonjwa wakae kwenye mistari....wale wenye ukimwi mstari wao na wale wenye kisukari pia mstari wao. Watu wote wakajaa kwenye mstari wa wagonjwa wa kisukari. Babu kuona wote ni wa kisukari akasema.."ngoja hii dawa ya ukimwi niimwageee"....watu wakapiga keleke..aaah babu usiimwage.... tumejichanganya...babu! usiimwage......!!!!!
 
Back
Top Bottom