Babu alizidisha mapenzi kwa wanawe

Duuu paroko huyu noma bilionaire pitgan
 
Last edited by a moderator:
Popote kwenye kundi la kondoo huwezi kukuta mbewha na fisi mbali

Na uwepo wa hao fisi ndio unaweza kukusaidia kutofautisha kati yao na sisi!!

^^
Umenena! Na je ktk hali hizi, tuwasikilize kondoo au wachungaji?
^^
 
Babu mzima hana haya!

Hawa wamelaaniwa.
 
Hebu tueleweshane; kanisa katoliki ni dini yenye muongozo wa mungu(kitabu/vitabu) au ni kama international organization yenye itikadi fulani yenye lengo la kula raha za dunia iliyojificha kwenye mwamvuli wa dini?; Maana hawa watu dah...!
 
Jamani huyo Babu si mkatoliki... kwa nilivyosoma hii habari kwanza amesema alifanya kazi kwenye Dayosisi, ambapo kanisa katoliki halina hichi kitu, Pia ni Kasisi Mstaafu... kama ninavyojua katika kanisa katoliki Kasisi hastaafu bali anaacha kama kakutwa na makosa. Lol
 
Kwani Mkatoliki ndo hana ile kitu au? Nadhani iwe wanawahasi hawa ndio itapendeza
 
Dah hili pepo la uzinz kwa makasisi wetu,tutapona kwel waumin?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…