Habari hizi anazipenda sana FaizaFoxy .............!!!!!!!!
Popote kwenye kundi la kondoo huwezi kukuta mbewha na fisi mbali^^
Baba Paroko, kumbe kuna mambo kwenye parokia zenu?
Dada zangu Heaven on Earth na Husninyo watasalimika kweli?
^^
Popote kwenye kundi la kondoo huwezi kukuta mbewha na fisi mbali
Na uwepo wa hao fisi ndio unaweza kukusaidia kutofautisha kati yao na sisi!!
^^
Umenena! Na je ktk hali hizi, tuwasikilize kondoo au wachungaji?
^^
![]()
kasisi mstaafu Francis Paul Cullen,
Kasisi mmoja wa kanisa katoliki mwenye umri
wa miaka 85 amekiri kosa la kulawiti watoto
wengi pamoja na kuwatendea unyama
watoto wengine wasichana baada ya
kufukuzwa kutoka katika kisiwa cha Tenerife
nchini Uhispania.
Katika kesi iliyokuwa inasikilizwa leo katika
mahakama mjini London kasisi huyo, kwa jina
Francis Paul Cullen, alikiri makosa 21 ya
kuwatendea uchafu watoto saba.
Vitendo cha kuwalawiti watoto wavulana na
kuwatendea unyama wasichana, vilitokea kayi
ya mwaka 1957 na 1991.
Msemaji wa dayosisi ya Nottingham mjini
Uingereza kasisi Andrew Cole alisema kuwa
amefurahi kwa kasisi huyo kukiri makosa dhidi
yake.
Kasisi Cole alisema kuwa hakuna kinachoweza
kuondoa masaibu yaliyowatokea watoto lakini
kasisi Cole alisema anatumai kuwa hii
itawasaidia kwa njia moja au nyingine.
Cullen atahukumiwa tarehe 24 mwezi Machi.
Alifanya kazi kama kasisi katika dayosisi
Mackworth parish ya Christ the King katika
mtaa wa Derbyshire kati ya mwaka 1960 na
1978.
Alihamia katika kanisa ya Buxton kuanzia mwaka1978-87 na kanisa nyingine ya Hyson Green,kati ya mwaka 1988-91.
Alistaafu Septemba mwaka 1991.
source BBC SWAHILI Leo 24/2/2014.
Kwenye suala gani?
Jamani huyo Babu si mkatoliki... kwa nilivyosoma hii habari kwanza amesema alifanya kazi kwenye Dayosisi, ambapo kanisa katoliki halina hichi kitu, Pia ni Kasisi Mstaafu... kama ninavyojua katika kanisa katoliki Kasisi hastaafu bali anaacha kama kakutwa na makosa. LolHebu tueleweshane; kanisa katoliki ni dini yenye muongozo wa mungu(kitabu/vitabu) au ni kama international organization yenye itikadi fulani yenye lengo la kula raha za dunia iliyojificha kwenye mwamvuli wa dini?; Maana hawa watu dah...!
Kasisi akiri kulawiti watoto UK - BBC Swahili - HabariJamani huyo Babu si mkatoliki... kwa nilivyosoma hii habari kwanza amesema alifanya kazi kwenye Dayosisi, ambapo kanisa katoliki halina hichi kitu, Pia ni Kasisi Mstaafu... kama ninavyojua katika kanisa katoliki Kasisi hastaafu bali anaacha kama kakutwa na makosa. Lol
Kwani Mkatoliki ndo hana ile kitu au? Nadhani iwe wanawahasi hawa ndio itapendezaJamani huyo Babu si mkatoliki... kwa nilivyosoma hii habari kwanza amesema alifanya kazi kwenye Dayosisi, ambapo kanisa katoliki halina hichi kitu, Pia ni Kasisi Mstaafu... kama ninavyojua katika kanisa katoliki Kasisi hastaafu bali anaacha kama kakutwa na makosa. Lol