Babra Khasani, kibonge mwepesi (clouds PB)

Babra Khasani, kibonge mwepesi (clouds PB)

Wanawake wa kibongo akishazaa tu full Michelin ata awe mbembamba kiasi gani,... Wesee iloo apo,
 
hebu sema ulitaka aweje! wajih upi unataka awe!.. mie nifanye nifanyavyo huwa nahangaika tu shingo ibaki pale pale ! sipend shingo ididimie aic!.. acha ninenepe lakini napenda shingo ionekane isizame
Yani ile sauti nilkuwa najua yupo kama mamii baby

Sent from my head using brain
 
Dah alikuwa ananivutia sana na sauti yake, wakuu so mtu bonge huwa na sauti mbaya au ya mkwaruzo aka base?
 
Back
Top Bottom