Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
Kumbee?
Nampendaga sana sauti huwa inanivutia lakini kumbe ndo yuko hivi.Sijawahi kufikiria ni kibonge mwenzangu . ana sauti nzuri sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yale Yale ya da huu wa Leo tena,when her picture went viral watu hawakuaminiNampendaga sana sauti huwa inanivutia lakini kumbe ndo yuko hivi.
Sent from my head using brain
asee huyu jamaa watu washamjadili sana nakutafuta jitiada zakujua nini kimemsibu mpaka sasa bado hatujapataJoseverest aliendaga wapi wakuu
Ukipewa jibu ni tagJoseverest aliendaga wapi wakuu
asee huyu jamaa watu washamjadili sana nakutafuta jitiada zakujua nini kimemsibu mpaka sasa bado hatujapata
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unayo mbaya?Sijawahi kufikiria ni kibonge mwenzangu . ana sauti nzuri sana