Babie!

Mwambie akuite jina lako tu na mambo yote yataendelea kama kawa.
 
ooohh my sweet heart sharo H
whats goin on here mmmhhh

still don't get it ..
I love calling you baibe
I love calling you darling
i love calling you pumpkin & pitches
mmmhh will be even sweeter if you allow me
to call you honey bunny..

so what are you saying sweet pie..:A S-rose:
hahahahhahahhaahh lol

I will do any thing for Sharo H..
I'm fully prepared mmmhhhh

hahahahah lol

waaaaaaoooooow!!!
Hutanisaliti darl?

Mmmmmhhhhh sweety
punguza pressure, relax
furahia maneno matamu dear..
hata kama si ya ukweli so what??

kama niko sehemu fulani hivi!!

hahahah labda kweli uko hapo .mmhh

hehehe kumbe ilikuwa ni gia ya kumnasa AD, na tayari amefanikiwa. haya nendeni PM. baraka za steven kanumba ziwe nanyi.
 
hehehe kumbe ilikuwa ni gia ya kumnasa AD, na tayari amefanikiwa. haya nendeni PM. baraka za steven kanumba ziwe nanyi.

Hivi wewe bila fujo huwezi ishi lol
nilikuwa na mwoneshea jinsi hayo maneno
yalivyokuwa matamu hataka ni ya uwongo mmmhhh
Dawa nyingine bwana zinaongeza kichaa badala ya kupunguza hahahahahha lol
 
Hivi wewe bila fujo huwezi ishi lol
nilikuwa na mwoneshea jinsi hayo maneno
yalivyokuwa matamu hataka ni ya uwongo mmmhhh
Dawa nyingine bwana zinaongeza kichaa badala ya kupunguza hahahahahha lol

heheh namie nioneshe basi yalivyokuwa matamu, hebu nipige mbili tatu za uso nijiskie kitaitanic kidogo.
 
heheh namie nioneshe basi yalivyokuwa matamu, hebu nipige mbili tatu za uso nijiskie kitaitanic kidogo.

we kuna mtu nyuma yangu
sijui kaingia vipi ndani kwangu
naona ana panga na ni langu
asije akapangua ubongo wangu..

subiri aondoke hahahhha lol
 
we kuna mtu nyuma yangu
sijui kaingia vipi ndani kwangu
naona ana panga na ni langu
asije akapangua ubongo wangu..

subiri aondoke hahahhha lol
hehe kama yuko nyuma yako huyo hamna kitu hapo, yuko kaa sanamu tu haelewi hata kinaendelea nini. Hivi kweli ukae mgongoni kwa AD halaf fahamu zibaki? khaaaa! tuendelee bana huyo jamaa hata ukimuuliza jina lake hapo anaweza akakujibu naitwa Toyota.
 
hahahahhahaahahah lol
dahhhhh nimecheke
eti Toyota mmmhh
jamani dahhhhhh
haya nilikuwa nataka
kucheka tu basiiii
sasa ngoja nika lale hahahahah lol

ntaku nong'oneze neno taaaamuuuu kesho
hahhaha lol asaaanteee mtoto mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiii lol:A S-rose:
 
Mwambie wakwako asikuite hayo majina! Period... Wabongo wengine kwa kulalamika lol...
 
hahahahhahaahahah lol
dahhhhh nimecheke
eti Toyota mmmhh
jamani dahhhhhh
haya nilikuwa nataka
kucheka tu basiiii
sasa ngoja nika lale hahahahah lol

ntaku nong'oneze neno taaaamuuuu kesho
hahhaha lol asaaanteee mtoto mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiii lol:A S-rose:
heheh lala unono bana! naomba uniote nimevaa jinzi la levis
 
ili kusibitisha upendo wangu kwako, namimi naenda kulala japo sina usingizi. kulaleki!

hahahahah lol
kumbe unajua maana ya TRUE LOVE mmhhhh
tuongee kesho zaidi kuhusu hiyo tupic
maana akili imelala, macho yamefunga nusu
sasa nisimalize nguvu kidogo zilizobakia
nazihitaji NITE NITE hahahhahah lol
 
hahahahhahaahahah lol
dahhhhh nimecheke
eti Toyota mmmhh
jamani dahhhhhh
haya nilikuwa nataka
kucheka tu basiiii
sasa ngoja nika lale hahahahah lol

ntaku nong'oneze neno taaaamuuuu kesho
hahhaha lol asaaanteee mtoto mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiii lol:A S-rose:

AD we ni mkali, unajua kuyatumia tahhhhhhhh!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom