Code:Kwani umelazimishiwa....kama hutaki mwambie mwenzako asikuite hivyo!
La ajabu ni kuwa akipachikwa hayo majina udende humdondoka lakini akija humu jamvini aanza kusagia....lol.................
Thread zingine bwana,haya jamani mi ninapita tu!
Kwani umelazimishiwa....kama hutaki mwambie mwenzako asikuite hivyo!
Tunadanganyana,
navojua baby ni mtoto mdogo tena asieweza hata kuongea, sasa inakuaje leo watu wazima tunadanganyana kwa kuitana majina ya ajabuajabu? Mfano sweet/tamu, kwani kuna mchungu au mchachu?
Mamy/mama, kwani umenizaa?
Honey/asali, kwani mi nimetengenezwa na asali?
Jamani situitane tu majina yetu? Hivi ukiniita Mujuni ndo nitaona kuwa hunipendi? Au ndo stimu hazitakuja? Kwa nini tunadanganyana wakati asilimia kubwa hata hawamaanishi wanachokisema?
Please, may I submit this thread?
Mapenzi siyo science kusema yana formula,
Ni Sanaa inayohitaji ubunifu wa maneno na vitendo
Ni hisia zinazompelekea mtu kuropoka maneno yenye kutaka kumjenga mwenzi wake kihisa pia,
Hayana mwongozo zaidi ya kunyumbua na kujinumbulisha kwa kila kinachoonekana Chafaa,
Walianza na kifo cha membe sasa kuna hadi style ya Mtaka cha uvunguni,
Ujio wa style zote ni ubunifu na ujuaji wa kila mmoja awapo shughulini.
Mapenzi Ni sanaa na msanni ni wewe na mwenzi wako,
Ubunifu ndio pekee utakao dumisha mapenzi
Hizo babie, honey sweet ndo zinadumisha maloveee dogo!!
lugha ya kimahaba hio,hatuendeshani kijeshi lol,inaelekea unatokea kule tarime kule nasikia hawarembi.....:biggrin1:
dah, sikumbuki mara ya mwisho kuitwa honey ilikuwa lini tu...............................
Mhhhh! AD kasheshe utaliweza lakini!? hahahahahah lol!
I will do any thing for Sharo H..
I'm fully prepared mmmhhhh
hahahahah lol
Afro nilidhani umelala!
kulala bila kumaliza shughuli ni dhambi ya 12
ooohh my sweet heart sharo H
whats goin on here mmmhhh
still don't get it ..
I love calling you baibe
I love calling you darling
i love calling you pumpkin & pitches
mmmhh will be even sweeter if you allow me
to call you honey bunny..
so what are you saying sweet pie..:A S-rose:
hahahahhahahhaahh lol
waaaaaaoooooow!!!
Hutanisaliti darl?