[emoji3][emoji3]Kwa bei ya laki 4 mkuu, mteja huwezi pata!
Angalau laki na 80 boss!
Ishu kubwa location haina mzunguko, alafu kumbuka kinyoz ndo analeta wateja wake, kuna kinyozi anawateja anahama nao 😂, sasa wengine wanakurupuka lazima warudishe mpira kwa kipa,Kwanini salon nyingi zinafungwa baada ya kufunguliwa
Na saloon yenyewe ilipo ss na mazingira yake n mazuri tu aiseé ,changamoto pale n wateja maana Kwa jiran yake Kuna salon nayo Kali sana na ishajibrand (Lalata)Ishu kubwa location haina mzunguko, alafu kumbuka kinyoz ndo analeta wateja wake, kuna kinyozi anawateja anahama nao [emoji23], sasa wengine wanakurupuka lazima warudishe mpira kwa kipa,
Mtu anawekeza pesa ndefu alafu kwa anapata wateja watatu,, unategemea atawalipa nn wafanyakazi[emoji23],
Hii Biashara ngumu sana...ni rahisi kudanikiwa na kufeli hivyohivyo...Mfano,kama una kinyozi maarufu ,ikatokew akaondoka anatahamana wateja.Hii hupekea Mmilikinkuwa Mtumwa wa Mfanyakazi! Hapo kupigwa njenje! Bahati mbaya ktk Rasilmali Watu illoyojaa Wahuni na Wenye utoto ni Vinyozi!Kwanini salon nyingi zinafungwa baada ya kufunguliwa
Hv vitu vyote unauza bei gani?Yah tunafanya hivyo boss karibu
Mkuu umetisha! Umepiga humo humoHii Biashara ngumu sana...ni rahisi kudanikiwa na kufeli hivyohivyo...Mfano,kama una kinyozi maarufu ,ikatokew akaondoka anatahamana wateja.Hii hupekea Mmilikinkuwa Mtumwa wa Mfanyakazi! Hapo kupigwa njenje! Bahati mbaya ktk Rasilmali Watu illoyojaa Wahuni na Wenye utoto ni Vinyozi!
Lakini ukibahatika,ukapata Vinyozi Wazuri,location nzuri...Hela njenje! Kama mwenye mali unanyoa mwenyewe hapo utatoboa.