Kurzweil JF-Expert Member May 25, 2011 6,622 8,397 Feb 13, 2019 #1 Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mohammed Kibiki(CHADEMA) ameng'olewa katika nafasi hiyo leo > Baraza hilo limechukua uamuzi huo kwa maelezo kuwa bwana Kibiki ameshindwa kubuni vyanzo vya mapato vitakavyoisaidia Halmashauri hiyo
Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mohammed Kibiki(CHADEMA) ameng'olewa katika nafasi hiyo leo > Baraza hilo limechukua uamuzi huo kwa maelezo kuwa bwana Kibiki ameshindwa kubuni vyanzo vya mapato vitakavyoisaidia Halmashauri hiyo
double R JF-Expert Member Oct 6, 2011 2,398 2,538 Feb 13, 2019 #2 Hii sababu moja tu ingeweza kufukuzisha wanasiasa ngazi zote. Pole yake. Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sababu moja tu ingeweza kufukuzisha wanasiasa ngazi zote. Pole yake. Sent using Jamii Forums mobile app
B BEHOLD JF-Expert Member Nov 17, 2013 5,057 10,715 Feb 13, 2019 #3 kwa hiyo kati ya mteule wa Raisi, DED, (DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR) na Council Chairperson, Ni nani mwenye dhima ya kutafuta vyanzo vya mapato?
kwa hiyo kati ya mteule wa Raisi, DED, (DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR) na Council Chairperson, Ni nani mwenye dhima ya kutafuta vyanzo vya mapato?
Jiwe la kudumu JF-Expert Member Aug 17, 2018 301 245 Feb 13, 2019 #5 Kurzweil said: Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mohammed Kibiki(CHADEMA) ameng'olewa katika nafasi hiyo leo > Baraza hilo limechukua uamuzi huo kwa maelezo kuwa bwana Kibiki ameshindwa kubuni vyanzo vya mapato vitakavyoisaidia Halmashauri hiyo Click to expand... Sasa wataalam wa halmashauri wanafanya kazi gani na ni kweli madiwani wote hawana ubunifu kweli wanamsubiri mwenyekiti peke yake ndio mwenye kichwa cha ubunifu? Hapo kuna sababu nyuma ya pazia!!
Kurzweil said: Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mohammed Kibiki(CHADEMA) ameng'olewa katika nafasi hiyo leo > Baraza hilo limechukua uamuzi huo kwa maelezo kuwa bwana Kibiki ameshindwa kubuni vyanzo vya mapato vitakavyoisaidia Halmashauri hiyo Click to expand... Sasa wataalam wa halmashauri wanafanya kazi gani na ni kweli madiwani wote hawana ubunifu kweli wanamsubiri mwenyekiti peke yake ndio mwenye kichwa cha ubunifu? Hapo kuna sababu nyuma ya pazia!!
ngalakeri JF-Expert Member Jul 17, 2014 1,648 1,379 Feb 15, 2019 #7 Si kwamba alitokana na upinzani? Sent using Jamii Forums mobile app