BABATI, MANYARA: Mwenyekiti wa Baraza la Halmashauri ya Babati ang'olewa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,550
2,000
Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mohammed Kibiki(CHADEMA) ameng'olewa katika nafasi hiyo leo

> Baraza hilo limechukua uamuzi huo kwa maelezo kuwa bwana Kibiki ameshindwa kubuni vyanzo vya mapato vitakavyoisaidia Halmashauri hiyo
 
Malitoli Jiwe

JF-Expert Member
Aug 17, 2018
238
250
Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mohammed Kibiki(CHADEMA) ameng'olewa katika nafasi hiyo leo

> Baraza hilo limechukua uamuzi huo kwa maelezo kuwa bwana Kibiki ameshindwa kubuni vyanzo vya mapato vitakavyoisaidia Halmashauri hiyo
Sasa wataalam wa halmashauri wanafanya kazi gani na ni kweli madiwani wote hawana ubunifu kweli wanamsubiri mwenyekiti peke yake ndio mwenye kichwa cha ubunifu? Hapo kuna sababu nyuma ya pazia!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom