Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Hayo ndo matokeo ya kugawa ardhi ya wananchi kwa wageni bila ya kuwashirikisha!! Viongozi wakae macho...dalili ya mvua ni mawingu!
Si wageni mkubwa, ni wenzetu humuhumu tulowaamini na kuwapa majukumu sasa wametugeuka wanachukua hela zetu kwa mgongo wa wageni!!!Sasa wageni wanaogawiwa cash money itakuwaje mungu wangu
Si wageni mkubwa, ni wenzetu humuhumu tulowaamini na kuwapa majukumu sasa wametugeuka wanachukua hela zetu kwa mgongo wa wageni!!!
Duh busara itumike badala ya maguvu
Wanakijiji wa vijiji 4 katika Bonde la Kiru wamechoma moto viwanda vi2 vya sukari,mashamba na Matrekta 20 mali wawekezaji fake wa Kihindi... My take; Wananchi wamechoka jamani,wananyanyasika katika ardhi yao... PEOPLE.'S POWER!!!

Hii inatia huruma!Ndio maana kila baada ya nyumba 3 huku Uswazi kama haukuti Msanii wa Bongo Flava basi Mamiss au Waigiza Filamu... Yaani...
Huko kiru wahindi wamewatesa sana wananchi. halafu huyo mtu sijui ndugu yake leo ndiye mbunge wao. what a shame.