Baba'ako ni Boya tu.!

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,194
Reaction score
2,063
Baby me nakupenda Japo Baba'ako ni Askari ila Kwangu ni boya tu yupo kama Msenge Fala yule..
@ChaliiYaKijengeJuu.
 

Attachments

  • boya2.JPG
    26 KB · Views: 63
hapo akili hua inakaimisha majukumu kufanya kazi kwa muda, unajikuta umeduwaa tuu huelewi ukimbie, upigane au vipi....
 
hapo akili hua inakaimisha majukumu kufanya kazi kwa muda, unajikuta umeduwaa tuu huelewi ukimbie, upigane au vipi....
Yaan unatamani upotee tu ghafla au itkoee nyumba from nowhere ujifiche chap.
 
umenikumbusha mbali sana,kipindi ndio balehe imeshika hatamu nilikuwa zinaiva sana na binti mmoja ingawa nilikuwa situmii.

sasa siku hiyo nimetoka tu shule nikaenda kwao nikakaa naye kibarazani tunapiga story,kumbe baba yake amerudi kutoka kazini amekaribia tulipo amesumama anasubiri kupokelewa ila binti amelewa story zangu za ajabu ajabu.

nilasikia sauti,ina maana wewe ndiye unamfanya binti yangu asinipokee sio!!!!aisee nilitetema sio mchezo.namuangalia binti ili nijue labda dingi katania kwa mapokeo ya binti baada kumwanganalia usoni,nakuta naye amepata woga.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha Noma sana mkuu.!!Ukikuta dingilii ni raru anakubutua kisoro ani.
 
Angestukia teke zito la mgongo

Alafu nahamia kwa binti namtandika Kofi zito la shingo
😡😤😤😤
Heshima lazima iwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…